Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

Hakuna Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama. Idara ya Usalama iko Ikulu. Mkuu wa Majeshi hasimami. Usalama.

Rekebisha kichwa cha mada.
 
Kutokana na matishio ya ugaidi Mkuu wa majeshi atatoka infantria.
 
Gakut ni Brigedia Jenerali
 
Hapo nadhani atakuwa Mwanamke na atatoka kati ya Zenj au Msg. Akitoka Zenj atakuwa Dada yake wa Bibie, akitoka Msg atakuwa Dada yake wa Baba wa Msg.
 
Lazima anayekuja awe ni Mkristo tena wa Dhehebu Kubwa na lenye Ushawishi Tanzania na Duniani kote la Katoliki sawa?
 
Aaah!! Naona kulya umeona ujifanyie Promo. Pasipo shaka tumeshajua wewe ndiye Little Master
Haupo sahihi viongozi wajuu katika hizo taasisi si ngumu sana kuwafahamu endapo wewe ni mfuatiliaji.

Kwa mfano mdogo tu kama ulifuatilia ile joint exercise ya SF kati ya Green Beret wa US na wazee wa Tisa 2 siku ya kufunga mafunzo unataka kuniambia Col. Kulya hakuhojiwa?
 
Yuko jirani yangu mmoja hapa nae alikuwa anatajwa ila wiki 2 zilizopita alifariki ghafla Dodoma anaitwa Kanal Timothy Mbao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…