Ghulaam
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 1,861
- 1,461
Basi atakuwa Sheikh pondaAjae me najua dini yake itakua islam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi atakuwa Sheikh pondaAjae me najua dini yake itakua islam
Iddi Gahu unamjua?Wengi wakijitahidi sana wanaishia vyeo kama Major
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha, basi kama vipi apewe Luteni Karama
Na huyu ndio CDF MpyaLuteni Jenerali Mathew Mkingule ni Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa 14 tangu alipoteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa awamu ya sita Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 21 Agosti, 2021.
Luteni Jenerali Mathew Mkingule alijiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania tarehe 21 Februari, 1995 na kuhudhuria kozi ya afisa mwanafunzi na kupata kamisheni mwaka 1995 kuwa Luteni Usu.
Luteni Jenerali Mathew Mkingule alihudhuria kozi mbalimbali ndani na nje ya nchi ikiwemo Kenya.
Katika kulitumikia Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Luteni Jenerali Mathew Mkingule alishika nyadhifa mbalimbali ikiwemo Naibu Mkurugenzi wa Bajeti na Usimamizi wa Fedha, Mkurugenzi wa Fedha za Umma na Hesabu, Mkurugenzi wa Bajeti na Usimamizi wa Fedha na baadae kuwa Mdhibiti Mkuu wa Fedha Makao Makuu ya Jeshi.
Luteni Jenerali Mathew Mkingule ametunukiwa medali mbalimbali
Miaka 40 ya JWTZ
Comoro
Miaka 50 ya Uhuru
Miaka 50 ya Muungano
Miaka 50 ya JWTZ
Utumishi Mrefu
Utumishi Uliotukuka
jinsi gani unavyoonekana mbaguzi na mdini, mtoa mada kauiliza nani hajauliza dini wala wapi anatoka.kwani Zanzibar kuna shida gani au muislamu tatizo nini? na kwani akiwa muislamu ubaya nini maana hawajawahi shika nafasi hiyo
We boya, JW Lina Kila kitu kilichopo kwenye muundo wa utawalaRekebisha kichwa cha Habari CDF ni mkuu wa majeshi ya ulinzi.... Majeshi ya usalama Yana wakubwa wake
huyo hapanaNi Rear Admiral Ramson Mwaisaka kama sijakosea
Hiyo ni lazima ufike kwa hivi sasa. Ilitokea awamu ya kwanza Brigadia akawa CDF kutokana na dharura tu. Ila kisheria ni hadi apitie na wote walipitia. Ila usimsingizie Mwenda zake inawezekana kwake, wakati haikutokea na yeye alifuata taratibu. Awamu ya kwanza ndiyo ilitokeaKwa hiyo tunakubaliana kuwa sharti ufikie cheo cha luteni jenerali ndio unaweza kuwa cdf...
Kabisa anatupiwa mbili kutoka Major GeneralLuteni, Meja, Brigedia (Jenerali).
Hivi anaweza kuteuliwa mtu ambaye sio rank ya Luteni Jenerali direct akawapita walio juu yake?
Mambo ni mengi sanaKumbe wajeda nao wanapigiana kampeni namna hii. Sisi raia tunasubiri
Nina Bet hivi. Mkingule anapando alipo Mabeyo na Suleiman Mzee anarudi jw kuchukua nafasi ya Mnadhimu Mkuu nafasi aliyopo Mkingule kwa sasa. Kwanza itakuwa ime balance suala la dini. Hiyo ya pili asipochukuwa Mzee basi atachukuwa jamaa mmoja anaitwa Othman.Ila gaguti alionewa kupelekwa kuwa RC, na CDF ajaye ni MUISLAM weka bold hayo maneno tena toka VISIWANI ..........ila hizi ndoto jamani 😂😂😂😂
Mwenye jeshi ni nchi hii wewe fala??Kama inawezekana kurukishwa basi Brigedia prof. Kohi anatosha. Au general Marwa. Ni vema jeshi likaongozwa na wenye jeshi lao.
Sent from my itel W6004P using JamiiForums mobile app