Nani kasema Nguruwe halali? Sio Ukristo au Uislamu kote wamemkana.


Nilipoona halali nikajua hapati usingizi, anyway mimi nadhani hayo yalikuwa yao huko kilipoandikwa kitabu
 
Hawezi kupewa mchele huyo.Atakatwa makofi akimbie.
Ndo tatizo la watz hawawezi kujadili kwa hoja kabsa ni udhaifu mkubwa mno kwa maendeleo na mstakabal wa taifa kwa ujumla kama mambo madogo kama haya mtu anashindwa kujibu, je mambo serious mtayaweza na unakuta jingne hapa ni lilamba asali
 
Iringa iringaa Iringaa

Viwanja/Maduka vya CCM sijawahi ona such scenario whole of Tanzania. Zipo bucha/maduka zaidi ya 30 sehemu moja wanauza nyama ya huyo mrembo
 
Ndo tatizo Lao wanapenda kuquote vpande vinavowafavor wao kama kana wao ndo walikua wakina Petro
 
Naona kama Kuna watu mpaka Leo hawakuelewa sababu ya " UJIO WA YESU " Yesu alikuja ku separate kati ya tamaduni za zamani fa far east na Neno la Mungu. Vitu hivyo vilikuwa vinachanganywa , kumbuka mahubiri yake kuhusu kufanya kazi siku ya sabato, kuhusu vyakula, nk. Alifuta tamaduni zote kwenye neno la Mungu , Sasa Kuna mijitu mpaka Leo imekalia tamaduni hizo ambazo zipo kwenye agano la kale. Komaeni nazo sisi tunamla bwana.Hakuna Mila za kiafrika zinazokataza .Mlisema ana wadudu wa hatari wanaingia kwenye ubongo, mara ukiweka limao wadudu wanatokea , sisi tunamla tuu na tuna afya tele kuliko nyie mnaodanganyana.

Mdudu hoyeeee!!! Machina anamla na ana akili nyingi na anaishi Maisha marefu kuliko wewe.

Wazungu wanamla Wana akili nyingi na wanaishi Maisha marefu kuliko wewe.

Wachagga, wanyakyusa, wahaya, wafipa na wangoni wanamla, Wana akili nyingi na wanaishi Maisha marefu kuliko wewe. Leave mdudu alone
 
Error "uncertainity in measurement" S.Chand, Principles of physics.

Mbuzi katoliki ni mtamu sana, Baadae jioni nitakuwa kipande cha tabata dar west na wanangu tukamtafune huyu kiumbe[emoji3] karibu mkuu. Nitakutumia picha hapa kwenye huu uzi
Hakuna anaeingilia uhuru wa mtu ilimrad uvunji sheria za nchi
 
Error "uncertainity in measurement" S.Chand, Principles of physics.

Mbuzi katoliki ni mtamu sana, Baadae jioni nitakuwa kipande cha tabata dar west na wanangu tukamtafune huyu kiumbe[emoji3] karibu mkuu. Nitakutumia picha hapa kwenye huu uzi
Ataanza kulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…