Nani kati ya hawa viongozi unamuona kiongozi bora wa muda wote?

Nani kati ya hawa viongozi unamuona kiongozi bora wa muda wote?

Tanzania imeongozwa na viongozi wengi hususani maraisi?
Yupi ni rais wa bora wa mda wote kwako?
1. JK Nyerere
2. Ali Hassan Mwinyi
3. BW Mkapa
4. J M Kikwete
5. JP Maguful
6. SS Hasani
Mimi namwona trojan horse
 
Kila mmoja alikuwa na Ubora wake na mapungufu yake 1 to 4.
The same to me 1-4 japo uongozi wa nyeyerere sikuushuhudia ila nilifanikiwa kwenda taifa kumuaga mkapa , j.k hao wengine ni tafrani kwa kweli
 
The same to me 1-4 japo uongozi wa nyeyerere sikuushuhudia
Enzi za Utawala wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere tulivamiwa na Iddi Amini Dada Mwalimu akatuongoza na tukatoa Dozi nadhani tungekuwa na Kiongozi Legelege Amini angetia timu Dar.
 
Enzi za Utawala wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere tulivamiwa na Iddi Amini Dada Mwalimu akatuongoza na tukatoa Dozi nadhani tungekuwa na Kiongozi Legelege Amini angetia timu Dar.
Ahaha iyo vita inatokea nilikua sijazaliwa.... Ila nasikia maisha yalikua magumu sana
 
Tanzania imeongozwa na viongozi wengi hususani maraisi?
Yupi ni rais wa bora wa mda wote kwako?
1. JK Nyerere
2. Ali Hassan Mwinyi
3. BW Mkapa
4. J M Kikwete
5. JP Maguful
6. SS Hasani
Nyerere na Mkapa kidogo...
 
Mkapa ndio raisi bora kuwahi kutokea Tanzania pamoja na mapungufu yote enzi za Utawala wake. Anaingia madarakani nipo std one
 
Tanzania imeongozwa na viongozi wengi hususani maraisi?
Yupi ni rais wa bora wa mda wote kwako?
1. JK Nyerere
2. Ali Hassan Mwinyi
3. BW Mkapa
4. J M Kikwete
5. JP Maguful
6. SS Hasani
JP magufuli🫡
 
Tanzania imeongozwa na viongozi wengi hususani maraisi?
Yupi ni rais wa bora wa mda wote kwako?
1. JK Nyerere
2. Ali Hassan Mwinyi
3. BW Mkapa
4. J M Kikwete
5. JP Maguful
6. SS Hasani
Tupo msalabani wasilisha machozi ya dam , mambo ya kusema nani awe kiongonzi ,upumbavu mtupu ,nafunga siku 14 ,na nataka majibu ndani ya siku 47, laana hii lazima ikome ,
 
Tanzania imeongozwa na viongozi wengi hususani maraisi?
Yupi ni rais wa bora wa mda wote kwako?
1. JK Nyerere
2. Ali Hassan Mwinyi
3. BW Mkapa
4. J M Kikwete
5. JP Maguful
6. SS Hasani
Ondoa kwanza hizi namba: 2, 4, 6
 
Hizi online poll mara zote Magu anashindaga sijui nani amekutuma kutest zali .. ya mwisho ilikuwa ile ya gazeti la Citizen Magu aliwapita wote. mpaka Nape akaingilia kati kuwatishia kufungia gazeti.
 
Back
Top Bottom