Nani kati ya hawa viongozi unamuona kiongozi bora wa muda wote?

Nani kati ya hawa viongozi unamuona kiongozi bora wa muda wote?

Kikwete.
Huyu jamaa aishi sana. Alitukanwa kila tusi na wapinzani hata wasiojielewa ila yeye aliishia kuwacheka tu.
Akijua fika akiamua kutumia mamlaka yake ataumiza wengi sana.
Mwana democracy.
 
Tanzania imeongozwa na viongozi wengi hususani maraisi?
Yupi ni rais wa bora wa mda wote kwako?
1. JK Nyerere
2. Ali Hassan Mwinyi
3. BW Mkapa
4. J M Kikwete
5. JP Maguful
6. SS Hasani
Kwangu JK Nampa maua yake
 
Na wewe ulizishika sana wakati wake?!😄
Hata kipindi ya JK nilikua mwanafunzi tena baada kukua ndio nimefananisha na kuwalinganisha hawa maraisi tokea wa awamu ya kwanza mpaka waa leo. The worst naanza na Nyerere, magu na na mazuu on the beat. Afu best Kikwete, mkapa mwinyi
 
Hata kioindi ya JK nilikua mwanafunzi tena baada kukua ndio nikefananisha hawa maraisi tokea wa awamu ya kwanza mpaka waa leo. The worst naanza na Nyerere, magu na na mazuu on the beat. Afu best Kikwete, mkapa mwinyi
Umetumia vigezo gani hapo the worst?!
 
Mkapa ndio raisi bora kuwahi kutokea Tanzania pamoja na mapungufu yote enzi za Utawala wake. Anaingia madarakani nipo std one
Sasa std one kweli, ndo umetoka chekechea, ulikuwa unaelewa nini kuhusu mambo ya uongozi? OMG 😲
 
Hata kitabu chake cha My life My Purpose pia kilichangia kuvutiwa sana na utawala wake.
 
Wote hakuna kitu kwa sababu walikuwa watawala sio viongozi...huwezi kukubali kuwa raisi wa Tanzania kwa katiba hii alafu ukajiita bora..raisi bora ambaye atakuja kumbukwa na vizazi vyote ni yule atakayetufungua kwenye minyororo ya CCM na mihimili yote ijisimamie kama Kenya.
 
Back
Top Bottom