ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
1 na 6 .Tanzania imeongozwa na viongozi wengi hususani maraisi?
Yupi ni rais wa bora wa mda wote kwako?
1. JK Nyerere
2. Ali Hassan Mwinyi
3. BW Mkapa
4. J M Kikwete
5. JP Maguful
6. SS Hasani
Muungwana kabisa Bora wa wakati wote huenda ni Mzee Ruksa no.2, wengine walijitahidi na walijaribu ila no.5 hakuna kitu hapo.