ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
1 na 6 .Tanzania imeongozwa na viongozi wengi hususani maraisi?
Yupi ni rais wa bora wa mda wote kwako?
1. JK Nyerere
2. Ali Hassan Mwinyi
3. BW Mkapa
4. J M Kikwete
5. JP Maguful
6. SS Hasani
Sio kwamba aondoe makafiri?Ondoa kwanza hizi namba: 2, 4, 6
Alitukanwa kumzidi SSH? By the way Wana tofauti ndogo sana na SSH.Kikwete.
Huyu jamaa aishi sana. Alitukanwa kila tusi na wapinzani hata wasiojielewa ila yeye aliishia kuwacheka tu.
Akijua fika akiamua kutumia mamlaka yake ataumiza wengi sana.
Mwana democracy.
Mkapa wasTanzania imeongozwa na viongozi wengi hususani maraisi?
Yupi ni rais wa bora wa mda wote kwako?
1. JK Nyerere
2. Ali Hassan Mwinyi
3. BW Mkapa
4. J M Kikwete
5. JP Maguful
6. SS Hasani
Mfu si yule alishindwa kujiokoa mbele ya binadamu wenzake na leo mna muabuduKumbe unatukuza dini mfu?
Without any doubt ni Mh. Rais Mtukufu Hayati John Pombe Magufuli, chaguo la Mungu kama zawadi kwa WatanzaniaTanzania imeongozwa na viongozi wengi hususani maraisi?
Yupi ni rais wa bora wa mda wote kwako?
1. JK Nyerere
2. Ali Hassan Mwinyi
3. BW Mkapa
4. J M Kikwete
5. JP Maguful
6. SS Hasani