Nani muasisi wa kula mara tatu kwa siku?

Kwa fundi Maiko na msaidizi wake kula hata mara4, maana kubeba mitofali sio mzaha!
 
 
UJINGA NI NINI?

Ujinga ni kupika chakula Kwa masaa mawili ili ule Kwa dakika 20.
 
Kuna mchizi alikua naishi hivyo, uzuri mtaani kwake msosi upo 24/7. Hata akihisi njaa saa nane usiku anaamka kwenda kupiga menyu.
Hiyo ndio safi. Na sio lazima mtu anywe chai, unaweza kula Lunch tu, au breakfast ukaanywa saa sita usiku mambo yakaenda. unaweza kula unavyotaka.
Misimamo mingine ni ya kijadi tu.
 
Dawa yako ni utengenezewe ama lichapati limoja likubwa sana au vichapati vigogo vidogo kama kumi. Lazima utoke kwenye mbili.
Mkuu nimezoea hvo.... kubadili utaratibu ni ngumu sana Kuna kipindi jamaaa Moja alinishauri jioni kula matunda lala na wakati nshazoea jioni nashindilia ubwabwa, siku hyo nikala matunda yale yaliyoliyochanganywa mengi mengi kidogo nkalala dadeq nliamka saa nane tumbo limewaka moto nasweat hyo njaaa ilitaka kuniwahisha ahera madukani.... asubuhi nkafidia ya jioni na nkala Cha moninge
 
UJINGA NI NINI?

Ujinga ni kupika chakula Kwa masaa mawili ili ule Kwa dakika 20.
Mimi naamini sio lazima tupike.
Chakula kikiwa kinapatikana. Unaweza kutafuna mapapai, korosho, ukala na kachumbari sufuria zima, unasukumiq na mqji lita mbili. Unakaa siku nzima.

Tunapoteza muda mwingi kujipikilisha makorokoro meengi alafu mwisho wa siku mtu ukila tumbo linauma, viungulia, na vichomi
 
Janabi kashauri tule mara 2 kwa siku
Hapa namuunga mkono, kula mchana katikati ya kazi ni uzembe.
Mtu akila asubuhi vizuri mchana anatakiwa kunywa maji na usiku kukazia kidogo tu, tena mida ya saa 11 hadi 12 jioni mambo ya kula yawe yameshafungwa. Kama hakuna mabadiliko yoyote ya kinjaa.
 
Sasa mkuu mimi nafanya kazi za zege unataka ninywe chai asubuhi na chapati mchana nishindie maji, usiku nilalie matunda?
Hii ratiba yako naona ni nzuri labda kwa madereva wa uba
 
Sasa mkuu mimi nafanya kazi za zege unataka ninywe chai asubuhi na chapati mchana nishindie maji, usiku nilalie matunda?
Hii ratiba yako naona ni nzuri labda kwa madereva wa uba
Nani muasisi wa chapati mbili na chai asubuhi. Hilo nalo ni tatizo.
Ila uko sahihi kila mtu ale kwa kadili ya majukumu yaliyo mbele yake.

Kuna mchina mmoja namuona yeye hali anakunywa maji ya kijani tu muda mwngi sijui ni nini ile.
 
sijui mnaokula mara 3 ,,mimi hata saa tano usiku njaa ikinikaba naamka kula.
 
sijui mnaokula mara 3 ,,mimi hata saa tano usiku njaa ikinikaba naamka kula.
Huu ndio utaratibu. Kuna mdau wangu aliwahi kufukuza mke kisa kagoma kumpikiq ugali dagaa saa saba usiku. Jamaa alisikia njaa kali kitandani mama akagoma kwenda jikoni kukorofisha mambo.
 
Huu ndio utaratibu. Kuna mdau wangu aliwahi kufukuza mke kisa kagoma kumpikiq ugali dagaa saa saba usiku. Jamaa alisikia njaa kali kitandani mama akagoma mwenda jikoni kukorofisha mambo.
saa saba, utashangaa ni jiko la kuni🙌🏾lipo nje la mabanzi aaaloooooh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…