Nani yupo nyuma ya vuguvugu la kuvunja Muungano

Kwanini mnawasingizia chadema?
Zile kauli nyingine za wabunge wa Zanzibar mbona hujazizhngumzia?

Msukuma hayuko sawa?

UISLAMU NI DINI YA HAKI
Ukiuangalia muungano una haki na usawa pande zote?View attachment 3611079
Huyo ni mjinga utachoka kumuelewesha, his sense of reality is messed up huwa anaona mambo kwa upande mmoja.
 
Wanajua walichofanya October 29 kwa sasa wanapambana kuvunja muungano akitokea Rais mtanganyika hasije akamtupa mama lupango kwa hiyo muungano ukiwa umevunjika ndo itakua ponapona yake ni mawazo tu
Duh !
 
Nyie mnaishi Tanzania ya wapi? Kumbe mambo mengi huyajui
Samia na mwinyi wapo nyuma ya ishu hii ndiyo maana wapo kimya na hautasikia hata sikumoja wanakemea kauli za muungano.
😄😄😄 I see
Eti lijitu kama lile jamaa Lina simama bungeni Lina mkashifu makamo raisi but till now haja chukuliwa hatua yoyote

Ila samuya anajua kuwa nyoosha 🙌😁
 
Mtajuana wenyewe huko huko
 
Waarabu wanachukua pesa ya carbon credits kwa niaba yetu kwa kuwa na misitu mingi inayosaidia kupunguza hewa ya Co2.
 
Hutumii akili zako vizuri kufikiri...

Nenda gereji, ufanyiwe ukarabati wa akili na ufahamu wako..

Mtu akiwa na akili mfyatuko kama zako, ni ngumu kufanya proper scanning ili kulewa baadhi ya mambo likiwemo hili...!!
 
Waarabu wanachukua pesa ya carbon credits kwa niaba yetu kwa kuwa na misitu mingi inayosaidia kupunguza hewa ya Co2.
.....na kisha kwa mlango wa nyuma zinarudishwa na kupewa Abdul na mama yake Samia na zingine kwenda Zanzibar...
 
Hutumii akili zako vizuri kufikiri...

Nenda gereji, ufanyiwe ukarabati wa akili na ufahamu wako..

Mtu akiwa na akili mfyatuko kama zako, ni ngumu kufanya proper scanning ili kulewa baadhi ya mambo likiwemo hili...!!
Hapa umeonesha tu kuwa wewe ndiyo akili huna
 
.....na kisha kwa mlango wa nyuma zinarudishwa na kupewa Abdul na mama yake Samia na zingine kwenda Zanzibar...
Yeah ndiyo lengo la SAMUYA kuwapa waarabu ndugu zake wakusanye kisha wakate PANGA ziende mifukoni mwao ,zenji na peanut ije Tanganyika.
 
.....na kisha kwa mlango wa nyuma zinarudishwa na kupewa Abdul na mama yake Samia na zingine kwenda Zanzibar...
Unaweza kutupa ushahidi wa kuletwa pesa Zanzibar , kwani huku tunakula mlo mmoja kwa siku kama majini na huo kuupata ni mbinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…