Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino

Sasa ndugu yangu,ni wapi nilipoandika hizo tuhuma zako? Mi nimesema kama anaijua dawa ya kienyeji na akawa ana uhakika kuwa inafanya kazi,huna haja ya kuidhalau. Umesoma vizuri comment yangu labda?! Au umeifananisha!
 
Aisee jino limesimamisha mapembe,nimetumia madawa niliyoelekezwa na wadau lilitumia kidogo hadi nikala,,

lkn sasa kama limechochewa
 
Samahani mkuu wewe upo mkoa gani?Na hilo jino limetoboka? Dawa ipo ila sema hiyo dawa nilipewa na bibi fulani na yenyewe ni ya unga.Mimi la kwangu ilikuwa ni ya kung'oa ila tangu nimetumia hii dawa haliumi tena mwaka wapili sasa hivi
 
Maxifresh Ina sukari sana achana nayo..mimi niliitumia meno yakawa yanakufa ganzi
Tumia sensodyne au Colgate nyeupe
 
Root canal ya gel ipoje mimi Nina Mashimo mawili nawaza kwenda kuyaziba naogopaa
 
Hii black monkey umesema inaziba mashimo??
 
Aisee jino limesimamisha mapembe,nimetumia madawa niliyoelekezwa na wadau lilitumia kidogo hadi nikala,,

lkn sasa kama limechochewa
Pole Sana. Upo mkoa/wilaya gani? Kuna dawa ya kutibu jino bila kung'oa na hutaumwa jino tena maisha yako na hautaamini. Mimi meno yalinitesa sana lakini nimefanyiwa hiyo dawa, hakuna cha jino kuuma wala nini mwaka wa 5 huu. Ila iko mbali ndio shida yake. Ila Nicheki DM huenda ukaiweza, usipuuze plz. NB: Dawa yake inafanya kazi pindipo jino linapouma.
 
Ahsante
 
Chukua hii, ukitaka hilo jina lako lisiwe linauma mara kwa mara, basi uwe unatumia vitunguu swaumu either kwa kuvikatakata na kumeza na maji au kutafuna!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…