Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino

Kama limetoboka nenda kazibe liatpona Kabisa hiloo
 
Limeanza kuniuma kitambo,hayo madawa nimetumia,linatulia ata mwezi,

Sasa jana mchana nimetumia dicropa linatulia,

Dawa zimedunda
Diclopa sio nzuri kabisaa, Ina tuliza na kurudisha maumivu hatarii.
πŸ‘‰Bora Vivian, Kisha tafuta hiyo dawa Ni Kama unga- yaani una sahau
 
Meza vidonge vya Calcium. Utakuwa na upungufu wa madini ya Calcium
 
Nenda kang'oe sasa bado upo jf huku...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…