Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino

Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino

Kang'oe tu..lakini next time fanya check up ya kinywa atleast mara moja kwa mwaka kama kuna matundu ziba ttzo letu wabongo mpaka meno yaume ndio twende hospita
 
Maeneo ya Machinga complex stand chini ya jengo palipo uvungu . Kuna Jamaa anauza dawa ya meno 2000 sasa nadhani 3000 tu. Ukitumia utapona kabisa. Jamaa ajengewe sanamu. Ni noma. Nilikuwa navimba fizi damu na usaha vinatoka nilipotumia dawa yake tu mwaka wa 3 sasa ni history imebaki
Nakusubiri
Hiyo no pls
 
Hapana Kwa ss sihitaji dawa ya maumivu
Nahitaji dawa itakayomaliza tatizo lisijirudie

Nisaidie hiyo dawa ya asili ni ipi?
Upo mkoa gani nikuunganishe na mtu aliyeko huko ukapone hilo jino lako. Kama miaka 5 imepita nilifanyiwa dawa ya jino ya ajabu sana, hadi sasa sina maumivu ya jino tena. Cha kushangaza nilimpa 10k tu halafu yeye akawa anaiona kama Billion vile maana wengi anaowafanyia hiyo jino humpa Kati ya 500 hadi 2000 tu😀
 
Assalaam


Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino,

Jino ni la juu,linaumaga natumia dawa linatulia lakini leo hapana,limesimamia ukucha

Jino limeanza kuuma tokea saa nne usiku hadi mida hii halitulii,

Nimetumia chumvi kusukutua ni kama nimechochea maumivu,

Dawa nilizotumia ampiclox pmj na paracetamol,vigo doctor,

Nilishauriwa pia niwe natumia dawa ya meno ya colgate max,

Hapa linauma nahisi joto nahisi baridi,sijielewi naona hapakuchi.
kuanzia sasa kila siku uwe unatafuna karafuu. shida za meno utaishia kuzisikia kwa watu. sijawahi kungoa jino maishani mwangu toka nijitambue wala maumivu ya meno
 
Kipenzi dawa ya jino ni kung'oa, ukifanya root canal jiandae kwa maumivu mara nne ya hayo baada ya mda.. Fanya tu maamuzi magumu uliondoe
siku hizi hakuna kungoa wanaua tu mizizi ya jino linabak na kaz ya kutafuna.
ukitaka kuwa free from shida za meno tafuna punje za karafuu kila siku 2 asubuh na jion hutaumwa meno
 
2023 iliniachia issue ya meno maana sikuwahi kuumwa kabisa

Ila natumia dawa hii kwa sasa na ninaswakia asubuhi na jioni, inasaidia sana kuondoa maumivu ila tatizo nikipitisha siku nzima sijaitumia. Naanza kuhisi maumivu kwa mbali
images - 2024-02-02T002945.532.jpeg
 
Ohh 😊 Asante sana mkuu.

Nina mdogo wangu, tena copy & paste na Mimi, ila kwa mbaliii kanizidi uzuri ukiwa tayari nitakupa. Ila ndio hawa sijui mnawaita generation Z 😅
nawomba naaa mimj niingirie kinyanganyiro. je swal atakubal kuish kw a shida na laha na mbeba tofar kutoka meru kwa sasa dathlam
 
Back
Top Bottom