Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #61
Huyo hawezi kulijibu swali hilo maana naifahamu akili yake ni ndogoMkuu naomba na Mimi nikuulize swali dogo,
MIFUMO YOTE YA SERIKALI NA TARATIBU ULIZOZITAJA ZIMEFANYA KAZI KWA TULIA NA KAFULILA TU? ππ
Let's be serious hata kama mtu unamchukia ila hata kimoyomoyo ukubali juhudi zake.
Sheria,wajibu na matakwa kihasibu yanaongozaje?Ni hisani kurudisha au ni takwa kihasibu/kisheria?Acheni hizo.You better find another good,and very good way to fool the fools!Sawa pamoja na yote ila Mwanaume unarudiahaje chenji Serikalini?
Tuache yote wewe unaweza kurudisha chenji ya zaidi ya 2bl?Hawa ni matapeli wa kisiasa wanaodhani wanawasiliana humu JF na wajingawajinga wa mitaroni huko.Pure political conmen!
Huwa unasima ripoti za CAG?Mkuu naomba na Mimi nikuulize swali dogo,
MIFUMO YOTE YA SERIKALI NA TARATIBU ULIZOZITAJA ZIMEFANYA KAZI KWA TULIA NA KAFULILA TU? ππ
Let's be serious hata kama mtu unamchukia ila hata kimoyomoyo ukubali juhudi zake.
Kuna miradi mingapi inatekelezwa Tanzania wewe jamaa why Tulia na Kafulila tu? Punguza uzwazwaSheria,wajibu na matakwa kihasibu yanaongozaje?Ni hisani kurudisha au ni takwa kihasibu/kisheria?Acheni hizo.You better find another good,and very good way to fool the fools!
Narudisha kwa sababu ndivyo napaswa nifanye.Usiite chenji.Ni neno la kihuni hilo.Ita bakaa.Salio ishia.Tuache yote wewe unaweza kurudisha chenji ya zaidi ya 2bl?
Let's be sincere tu
Zwazwa ni wewe unayelazimisha mtu kutimiza matakwa ya kihasibu atukuzwe.Yani mtu asifiwe kwa ku-inhale na ku-exhale kwa uhai wake mwenyewe?You people are dearly numbs & dumps too!π€£π€£π€£π€£Kuna miradi mingapi inatekelezwa Tanzania wewe jamaa why Tulia na Kafulila tu? Punguza uzwazwa
Huyo hawezi hata kwa dawa.Tuache yote wewe unaweza kurudisha chenji ya zaidi ya 2bl?
Let's be sincere tu
Wrooooong!Unasifia utimizaji halali wa wajibu wa mtu?Mmevuka viwango vya kusifia sasa mpo kwenye kufuru ya kutukuza.Na laana iwe juu yenu.Nafuta neno laana.Acheni upuuzi huo haraka sana.Nasisitiza.Acheni wivu ewe mtanzat uliojaa msongo wa mawazo.tuwe na moyo wa kuwatia moyo wazalendo wa Taifa letu badala ya kuwakatisha tamaa
Tatizo lako pengine unachuki na Tulia au Kafulila lakini kwani Tanzania ni miradi mingapi inatekelezwa?Zwazwa ni wewe unayelazimisha mtu kutimiza matakwa ya kihasibu atukuzwe.Yani mtu asifiwe kwa ku-inhale na ku-exhale kwa uhai wake mwenyewe?You people are dearly numbs & dumps too!π€£π€£π€£π€£
Kiroho safi narudisha.Nisiporudisha ni wizi huo.Huyo hawezi hata kwa dawa.
Umesomeka, Kafulila na Tulia ni mashujaa wa Uadilifu kwelikweliTatizo Tanzania tunashindana kwenye kupiga tu pesa ya Umma, Mtu unaambiwΓ mwanaume karudisha chenji wewe unaanza kunong'ona kama juha, Ivi mnajua utamu wa pesa nyie, tena pesa ambayo tayari imeshaandikwa imetumika?
MIMI NISINGERUDISHA HATA MIA.
Wewe kwa akili yako unaweza hadi kwenda kwa mganga kutoga ili isijulikane kuwa umetafuna chenji ya watanzaniaKiroho safi narudisha.Nisiporudisha ni wizi huo.
πππ Pesa tamu wewe acha kabisa jombaaKiroho safi narudisha.Nisiporudisha ni wizi huo.
Wewe kwa akili yako unaweza hadi kwenda kwa mganga kutoga ili isijulikane kuwa umetafuna chenji ya watanzaniaKiroho safi narudisha.Nisiporudisha ni wizi huo.
Watalaaniwa wanaotafuna pesa za watanzania bila huruma.Wrooooong!Unasifia utimizaji halali wa wajibu wa mtu?Mmevuka viwango vya kusifia sasa mpo kwenye kufuru ya kutukuza.Na laana iwe juu yenu.Nafuta neno laana.Acheni upuuzi huo haraka sana.Nasisitiza.
My friend,niwe na chuki na Tulia Davy,why?Wananijua au ninawajua personally?Nakuelezeni ukweli,acheni kuanzisha nyuzi nyepesi na kuabudu watu.Mmevuka kwenye kusifu.Some weeks with nonsenses?Why do you put us,all into a gabbage-bin?Huku ni kutudharau.Tatizo lako pengine unachuki na Tulia au Kafulila lakini kwani Tanzania ni miradi mingapi inatekelezwa?
Hizo unazoziita bakaa zinarudi?
Mwanaume kurudisha chenji acha kufanya mzaha na huyo mtu aisee.