Naomba kuelezwa ni nani Mwingine zaidi ya Dkt Tulia na David Kafulila amewahi kurejesha Chenji Serikalini?

Shida iko wapi?
Kila mwanasiasa anaambition kubwa,
Ila kwa sasa tuzungumzie kwanza Uzalendo wa huyu 2mbili
Jamaa Yuko vizuri kwa kiasi kikubwa kulinganisha na vijana wengine wa Rika lake kisiasa
 
Uzalendo ufundishwe Mashuleni yaani watu wanamlaani mtu kurudisha chenji aiseeee my country😭😭
 
Hongera Tulia hongera Kafulila lakini hamtapendwa
 
CCM inaviongozi wengi wazuri hawa ni miongoni mwao,

Kama Taifa tunajivunia activists hawa wa Uzalendo.

Mungu awabariki sana na awape Kila haja ya Mioyo yenu.

Msirudi nyuma tusonge mbele.

Namwona Tulia akiwa juu zaidi.

πŸ€πŸ™
 
Mkuu CM 1774858 binafsi nakuheshimu sana.

Tanzania inashida ya watu kufuatilia vitu visivyo na umuhimu kwao.
Mfano tu Kuna watu wanajua historia ya Simba ya miaka 20 ila hawajui historia yoyote ya Taifa lao.
 
Nashukuru sana,
Polepole wataelewa tuendelee kuwahamasisha kama hivi Jf,

CCM ndio Chama na Rais ni Samia mpaka 2030 Mungu tusaidie.
 
Tulia , Kafulila wajengewe minara
 
Leo umenikuna kwakwΓ©liπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏ
 
Nawapongeza sana
 
Tanzania kama tumeanza kutazama Sifa za watu kwa kiasi hiki basi yajayo yanafurahisha
 
Makonda na Kafulila ni majembe ya Ukweli
 
CCM inaviongozi wengi wazuri hawa ni miongoni mwao,

Kama Taifa tunajivunia activists hawa wa Uzalendo.

Mungu awabariki sana na awape Kila haja ya Mioyo yenu.

Msirudi nyuma tusonge mbele.

Namwona Tulia akiwa juu zaidi.

πŸ€πŸ™
I salute you πŸ™πŸΏ
 
Hao wana pesa, Hv wewe huna pesa Leo uokote Kibunda utakipeleka central atafutwe mwenye nacho?

Mimi nadhani sasa hivi ifike hatua uongozi ili kuupata uwe na PESA kwanza...

Fomu za Udiwani ziuzwa Milioni 100

Fomu za Ubunge Bilioni 1

Fomu ya urais Tilioni 1

Uongozi uwe kwa wenye pesa itasaidia sana kuondoa Upigaji usio na tija
 
Huoni kuna watu watakopa ili awe Rais na akiwa Rais auze nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…