Seven77
Senior Member
- May 28, 2024
- 173
- 140
Jamaa Yuko vizuri kwa kiasi kikubwa kulinganisha na vijana wengine wa Rika lake kisiasaShida iko wapi?
Kila mwanasiasa anaambition kubwa,
Ila kwa sasa tuzungumzie kwanza Uzalendo wa huyu 2mbili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa Yuko vizuri kwa kiasi kikubwa kulinganisha na vijana wengine wa Rika lake kisiasaShida iko wapi?
Kila mwanasiasa anaambition kubwa,
Ila kwa sasa tuzungumzie kwanza Uzalendo wa huyu 2mbili
Uzalendo ufundishwe Mashuleni yaani watu wanamlaani mtu kurudisha chenji aiseeee my country😭😭Ndugu zangu Watanzania,
Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya watanzania. Miongoni mwa watu hao basi ni hawa watu wawili ambao wamewahi ishitua Tanzania na kugusa mioyo ya mamilioni ya watanzania.
Ngoja niwape story bila kuwachosha kuelekea wikendi. Ilikuwa hivi Mheshimiwa Chuma Mwenyewe David Kafulila akiwa katibu Tawala Mkoa wa Songwe alipewa Billion Sita kujenga mpaka kumaliza ujenzi wa Makao makuu ya mkoa wa Songwe yanayopatikana katika kata ya Mlowo Eneo la Nselewa. Lakini Chuma kwa kutumia mfumo wa Force Akaunti katika ujenzi wa Makao makuu hiyo hakumaliza pesa hiyo.
Ambapo mpaka jengo linamalizika na kukamilika Chuma Kafulila akabakisha Chenji ya Karibu Billion Mbili.Siku hiyo anasoma taarifa hiyo mbele ya waziri mkuu mwaka 2020 Ofisi za makao makuu ya mkoa ,watu wote walibaki Midomo wazo na kustaajabu Uzalendo alio uonyesha CHuma Kafulila. Nakumbuka siku hiyo alisoma taarifa hiyo kwa umakini na utulivu wa hali ya juu sana. Na kwa bahati nzuri mimi mwenyewe nilikuwepo siku hiyo na nilikuwa karibu sana eneo la Tukio na nilikuwa nimesimama jirani na Mheshimiwa David Silinde ambaye siku hiyo alipewa nafasi ya kuzungumza pia. Nilikuwa jirani maana nilikuwa ni kiongozi wakati huo kwenye jumuiya ya vijana yaani UVCCM.
Siku hiyo nakumbuka wakati tunarejea majumbani Chuma Kafulila alikuwa ni gumzo sana tena sana midomoni mwa watu ,kwa namna alivyo onyesha uzalendo wa kipekee na uaminifu wa kiwango cha juu sana.
Mwingine ni Dada wa Taifa na Rais wa IPU na msomi Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini.huyu sina sababu ya kueleza mengi maana mnakumbuka Billion kadhaa alizorejesha serikalini baada ya kubana matumizi kule Bungeni.
Nimeamua niandike haya kueleza kuwa kuna watu ni waaminifu na wazalendo sana,ambao miongoni mwao ni hawa niliowataja hapa.
Jiulizeni ndugu zangu watanzania ni mara ngapi mmesikia kuwa mradi fulani Umepelekewa mamillioni kwa mamillioni ya pesa, lakini pesa zimekwisha na mradi haujafika hata nusu na hela haieleweki iliko kwenda? Mara ngapi mmesikia miradi kama vile ujenzi wa shule au kituo cha afya au barabara au usambazaji wa maji unakatu umekwama kukamilika kwa kuwa tu mapesa yaliyotolewa yameliwa na kuisha kabla hata mradi haujafika hata Nusu yake? Hamjaona haya wanapofanya ziara mawaziri wetu huko mikoani wakisikitika mpaka wanatamani kulia baada ya kukuta pesa zimeliwa? Hamjaona waziri mkuu wetu akiongea kwa uchungu na kwa huzuni na kuagiza ukaguzi na uchunguzi ufanyike kubaini waliotafuna pesa?
Lakini vyuma hivi Mheshimiwa Dkt Tulia pamoja na David Kafulila vilirejesha Chenji ya mamilioni kwa mamilioni,pesa ambazo wangeamua kuzichepusha kutunisha akaunti zao benki. Lakini kwa uzalendo wao wakasema hapana acha turejeshe pesa hizi ili zikajenge vituo vya afya ,shule, usambazaji wa maji safi na salama,umeme, barabara n.k.
Mwisho niseme tu kuwa mimi ni mzalendo na nimekuwa na tabia ya kutetea na kuwasemea wazalendo wote. Mimi sioni haya wala aibu kumtetea na kumsemea mzalendo bure kabisa pasipo malipo ya aina yoyote ile wala kupewa hata mia tano tu ya Vocha. Nataka Taifa liwe na utamaduni wa kuwaunga mkono wazalendo na wachapakazi wa Taifa letu ,tusiache wakachafuliwa na kushambuliwa na wabaya .ndio maana kuna watu awali wakasema mara nalipwa kwa uchawa ,wengine wakasema nalipwa na Mheshimiwa Dkt Tulia,wengine wakasema Nalipwa na Mwamba Mwenyewe Paul Makonda na sasa wengine wanasema nalipwa na Chuma Kafulila.ila hawasemi nalipwa shilingi ngapi na kwanini nilipwe na kila mtu na na kwa watu wote hao? Na hawasemi kwamba wao wanalipwa na nani kuchafua watu humu jukwaani na mitandaoni.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hongera Tulia hongera Kafulila lakini hamtapendwaNdugu zangu Watanzania,

CCM inaviongozi wengi wazuri hawa ni miongoni mwao,Ndugu zangu Watanzania,

Mkuu CM 1774858 binafsi nakuheshimu sana.CCM inaviongozi wengi wazuri hawa ni miongoni mwao,
Kama Taifa tunajivunia activists hawa wa Uzalendo.
Mungu awabariki sana na awape Kila haja ya Mioyo yenu.
Msirudi nyuma tusonge mbele.
Namwona Tulia akiwa juu zaidi.
🤝🙏
Nashukuru sana,Mkuu CM 1774858 binafsi nakuheshimu sana.
Tanzania inashida ya watu kufuatilia vitu visivyo na umuhimu kwao.
Mfano tu Kuna watu wanajua historia ya Simba ya miaka 20 ila hawajui historia yoyote ya Taifa lao.
Tulia , Kafulila wajengewe minaraNdugu zangu Watanzania,

Leo umenikuna kwakwéli👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿Ndugu zangu Watanzania,

Nawapongeza sanaNdugu zangu Watanzania,

Tanzania kama tumeanza kutazama Sifa za watu kwa kiasi hiki basi yajayo yanafurahishaNdugu zangu Watanzania,

Makonda na Kafulila ni majembe ya UkweliNdugu zangu Watanzania,

I salute you 🙏🏿CCM inaviongozi wengi wazuri hawa ni miongoni mwao,
Kama Taifa tunajivunia activists hawa wa Uzalendo.
Mungu awabariki sana na awape Kila haja ya Mioyo yenu.
Msirudi nyuma tusonge mbele.
Namwona Tulia akiwa juu zaidi.
🤝🙏
Acha kumfananisha Mzalendo Kafulila na watu wa ajabu ajabuMakonda na Kafulila ni majembe ya Ukweli
Makonda ni waajabu ajabu?Acha kumfananisha Mzalendo Kafulila na watu wa ajabu ajabu
Sasa mtu mwenye utata kwenye majina, Elimu yake, Uadilifu wake unamfananishaje na Kafulila?Makonda ni waajabu ajabu?
Huoni kuna watu watakopa ili awe Rais na akiwa Rais auze nchi?Hao wana pesa, Hv wewe huna pesa Leo uokote Kibunda utakipeleka central atafutwe mwenye nacho?
Mimi nadhani sasa hivi ifike hatua uongozi ili kuupata uwe na PESA kwanza...
Fomu za Udiwani ziuzwa Milioni 100
Fomu za Ubunge Bilioni 1
Fomu ya urais Tilioni 1
Uongozi uwe kwa wenye pesa itasaidia sana kuondoa Upigaji usio na tija
Hiyo historia inakusaidia nini?Sasa mtu mwenye utata kwenye majina, Elimu yake, Uadilifu wake unamfananishaje na Kafulila?
Trust me Makonda anaigiza tu hapo, Mbona anajulikana vema.Hiyo historia inakusaidia nini?
Binadamu wanabadilika Kila siku hivyo acha kukariri tabia ya mtu ya mwaka na mwakaTrust me Makonda anaigiza tu hapo, Mbona anajulikana vema.