Naomba kufahamishwa kuhusu mkoa wa Singida

Hahaha si unajua wazungu tunawashangaaga huku nilifurahi balaa na hivi najitoaga ufaham nikamfuata mmoja nikamwabia do you enjoy the show akajib yeah nkamwabia fanya malomoni hapo I want bia
Akatoa 10000 sa ngapi nisivute Safari kubwa tatu
 
Okay sawa plz naomba hayo mashudu aise kama hutojali

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha si unajua wazungu tunawashangaaga huku nilifurahi balaa na hivi najitoaga ufaham nikamfuata mmoja nikamwabia do you enjoy the show akajib yeah nkamwabia fanya malomoni hapo I want bia
Akatoa 10000 sa ngapi nisivute Safari kubwa tatu
😂😂😂😂😂😂
 
Nilisoma mwenge hapo kiukweli maisha Singida ni average,.huduma zote za msingi hazisumbui shida ni mji mdogo bado halafu mchana panapooza sana..ukitaka uenjoy ni uende as visit week hiv utaupenda mji ila kama ni makaz ya kudumu na umetoka mikoa iliyo changamka bas vumilia.
 
Pale njia panda(penye makutano ya Barabara za Arusha, Ngimu na Makiungu)?
Tulikuwa tunaenda mbali kidogo jina nimelisahau,lkn wafugaji wengi walikuwa wanapita pale Mwenge kwenda huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…