BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 3,477
- 7,085
Ni kweli maana Kuna ukoo flani kila wakipeleka jina la ndugu Yao awe katika mkeka hata wa ukuu wa mkoa tu jamaa anatema mpaka wanamuombea Dua afe.Za ndani kabisa. Jamaa anamajivuno na jeuri balaaa.