Naomba kujua hasa Wasifu wa huyu Mtu aitwae 'Waziri' ninayemuona 24/7 akiwa nyuma ya Rais Samia huku akiwa anasikilizwa na hata Kuogopwa pia?

Je, ndiyo Chief of Protocol kwa Mheshimiwa Rais Samia sasa? Nasikia pia kuwa ndiyo National Intelligence Analyst. Na kwanini anasikilizwa na hata Kuogopwa sana na Timu ya Rais kiasi kwamba ananyenyekewa mpaka na wale Watu wa Msaada Kontena ambao Kiutendaji Yeye ndiyo anatakiwa aongozwe nao na hata awagope na awasikilize?

Kama kuna Uzi ambao GENTAMYCINE leo nitatulia sana Kusoma Comments za Members mbalimbali JF basi ni huu.
Anaitwa Wazir Warsaw (kama spelling) ni msaidizi wa Rais katika shughuli na itifaki zote. Lakini pia ni mshauri binafsi katika maswala kadhaa kama ambavyo wewe na mimi tunaweza kua na washauri. Ni mtu smart sana na ana akili nyingi na ni humble sana. Hana makuu, hana kashfa na ni mfia dini mzuri sana. Wachache wanaweza kumchukia na kumzungumzia negative hasa wale chawa chawa wa zamani, lakini jamaa ni so fa so good sana..
 
Una uhakika?
 
Haya maelezo kwa jinsi yalivyoandikwa kwa Utetezi Uliotukuka / Kujitetea Kulikotukuka unaweza kusema Mhusika ndiyo kaama kuja Kujitetea ila kumbe wala siyo Yeye bali ni Member tu wa JamiiForums ambaye huenda akawa anamjua vyema Mhusika / Mlengwa katika huu Uzi ambaye ni Waziri.
 
Back
Top Bottom