kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Hiyo pesa wanakula wajanja kilaini bila ya jasho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ama wewe!?You must be a CERTIFIED FOOL at JF.
Mungu ndiye wa kushukuriwa,Asante sana Mkuu kwa hii Elimu yako.
Wapagani na Wanga hamkosekani JamiiForums Kudadadeki zenu.Zaka ni wizi na utapeli uliohalalishwa kwa mgongo wa imani za kidini.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Aliyekuzaa.Mimi ama wewe!?
Amina Mtumishi.Mungu ndiye wa kishukuriwa,
Mimi ni chombo chake kidogo tu kisicho na faida.
UBARIKIWE 🙏
Kikubwa umemtolea Mwenyezi Mungu na anaona hivyo utaendelea Kubarikiwa nae hata kama hao Wajanja wako wataila huku wakisubiria Laana yao ambayo itawala Kizazi na Kizazi.Hiyo pesa wanakula wajanja kilaini bila ya jasho.
Huyo jomba ataharibu uzi. 🤣🤣Hongera Mkuu. Ila pia ningependa kusikia maoni ya Kiranga kwenye hili.
Kwani hiyo Hela naitoa katika Mshahara wako au wangu Mimi GENTAMYCINE? Nasubiria jibu lako Wewe Zozola ( Mjinga ) sawa?Sasa ndio naamini wazungu walituachia Biblia na wao wakaondoka na madini yetu, bado wanakuhadaa uwape tena sehemu ya kumi.
Wapumbavu hamjapungua tu nchini?Kwamba Mungu ana Akaunti Duniani ?
Popoma Shangazi yako / Mjomba wako.Popoma umeongea kitu cha maana sana.
Wachezaji na benchi la ufundi wanapaswa kufanya nini ili tushinde. match ya leo.GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer"
Hapa ndo huwa naamini Mungu ni wa wote hata wewe ambaye una upopoma anakubariki.Popoma Shangazi yako / Mjomba wako.
Swali liinamachaguo mawili tu,Aliyekuzaa.
Huu ni Utaratibu wangu wa miaka kuna kipindi niliacha nikawa juani mbaya. Miaka ya hivi karibuni tena kwakweli namuona Mungu Sana,na Kibiblia tunatoa kwasababu tunampenda Mungu kwahiyo tunatoa kwa FurahaAsante sana Kwako uliyenipa hii Elimu kwani tokea nianze Kufululiza kuhudhuria Ibada zangu Kanisa Katoliki na Kumtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la Kumi ( 10 ) Maajabu yanayonitokea ya Kimafanikio, Baraka na Neema huwezi kamwe kuyapata kwa Mganga wa Kienyeji au wale Waganga Watatu wa Madhabahuni Kawe, Kimara Temboni na huyu mpya wa Buza kwa Lulenge.
Ukiona kila Mwezi unatoa Fungu la Kumi Kanisani Kwako halafu huoni Mafanikio yoyote yale jua hiyo Hela unaitoa huku ukiwa na Usununu ( Hasira ) Moyoni mwako au Wewe ni Mchanganya Maombi na Mzururaji tukuka wa Kutwa kwa Waganga wa Kienyeji.
Akhsante Mungu kwa BARAKA zako!!!