Naomba kujua Tabia za wanawake wa kijita

yeghoo ๐Ÿ˜‚
 
Asee hongera sana mimi hao nawafahamu kwakuwa ninauzoefu nao.
Ndani ya mkoa wa mara nadhani ukikutana na wazee wa zamani sio wazee aakijita watakushauri usioe hilo kabila kwa sababu zamani nasema zamani na sio sasa walikuwa na tabia mbili konki sana.
1. Mtapendana sana lakini mkianza kujipata lazima akutangulize kwa sir God.
2. Kwenye mdomo mamaaaaa kama redio mbao anaweza kuongea asbhuhi mpaka jioni.
Lakini kwa upande wa heshima wako poa sana ila wanapenda jigi jigi sana nakumbka kipindi hicho nyasatu wangu alitugonganisha mimi na jamaa angu na wala hakuona shida kila moja anajilia kwa zamu.
Tabia zingne ni zinafanana tu.

Ila ushauri wangu.
Hata watoto wa familia moja wanazaliwa na kila moja anakuwa na tabia yake hivo usiache kuoa kisa tabia ya baadhi ww beba chombo upewe mauno ya kijita mzee.
Na usisahau harusi ni ya kijadi hata kama mtafunga ndoa kanisani lakn home lazma tufanye yetu kuonesha wnaaukoo kuwa nyaboko anaolewa
 
Sasa mkuu, hapo ulipo huambiliki wala husikii, ukiambiwa ni wa hovyo utamwacha kweli? Mkuu wewe beba tu, kila mtu na life lake. Kwa sasa hakuna cha kabila, kila kona moto unafuka. Mkiwezana mnaishi mkishindwana basi mnatemna maisha hayataishia hapo. Kwa sasa na ulivyoandika tunajua umechanganyikiwa na mambo ya 6x6 ila ndoa ni zaidi hizo mambo.
 
Asanteni wakuu,myasemayo ni kweli nayashuhudia,kinakiburi,kikorofi,kinapenda chini,
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น wanaume khaaa!๐Ÿ’”
 
Wewe Unaufahamu ukweli umeamua kumdanganya. Mimi namwambia WAJITA OGOPA KAMA UKOMA.

Washirikina sana, Waongeaji sana, wajuaji sana, wajivuni sana, wambea sana, wagomvi sana, sijui niishie wapi lakini unaweza kujitoa ufahamu ukajaribu ila kama huna pesa utajuta kukutana naye.
 
Ukimgecha anakujecha yegho
 
Uta_ria sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ