RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Ulikosea sana!na umetuaibisha wanaume,maisha yenyewe Yako wapi Hadi kumkataa mtu aliekuelewa na Mungu anamleta kwako Kila siku!!?unajua maisha ya uzee yanavyowatesa wazee Kila siku Kwa upweke na kunyanyapaliwa!!?uanajua ni nani atakua kando yako akikubembeleza uzeeni!!?Aiseee iliwai kunitokea kwa ka demu kajita hmmm alinitesa nafsi manina yule.mi niliomba gemu tu nikapewa kumbe kameelewa.demu alikua anatoka mbali na ninapoishi ila hata sijamuita naskia saa sita usiku au saba nagongewa mlango hicho ndani afu unakuta ndo nimechoka kweli.mtu sijamuita unashtukia meseji saa 4 usiku niko njiani nakuja...namwambia wewe sijakuita...kinajibu nakuja tu.ilifika wakati nakimbia geto.kuna siku aliniandikia meseji nakuja hee nkatoroka geto nkaenda kulala gesti kalipigwa baridi usiku wote hapo ndo nkawa nimemfukuza,nshabutua makofi sana wapi hajawai toa ata chozi ndo kwanza ananiambia utaniulia humu mpaka naogopa.ni kimbembe nimeongea machache.ila show anaupiga mwingi...yani kama mchezaji wa leo mo salah au mbape
Yap huyu mjita maana hata hilo jina analotumia ni moja ya mtaa/kijiji huko maraWewe ni mjita??
Duuuh pole mzee lakin ndo uanguke kama kondoooo ivoHmm mtu hujamuita huyo.mkuu yani akija leo,kesho anakupumzisha...kesho kutwa ka meseji hako saa 6 usiku nakuja na hapingingiki we tulia utaskia mlango umegongwa.sa huruma zangu nikawa nampokea asilale nje maana anatoka mbali,ndani mixer makofi mawili kumtisha asiwe anakuja huh yani kofi nikama nimempapasa tu.bro mi sio wakupiga wanawake kabisa ila huyu hmmmm alinishinda mpaka nikakimbia geto.ngoja nikuongezee nyama kidogo siku nilipomkimbia akalala nje.nilikua na laki 3 mfukoni huo usiku niliotoroka geto nikaenda nikalewa na mdogo wangu nikalala gesti huh asubui nkajikuta na elfu saba tu.hapo hicho ki dada kila dakika meseji ananitumia nikaikimbia simu nayo.nkatishiwa ana mimba yangu na ataniroga.sijui nilimpaje mimba na kondom nilikua navaa.nkikusimulia hichi kisa sema navunja vunja vipande.kuna demu mtaani ile siku natoroka geto alinikuta nimekaa sehem mwenyew akanihoji mbona upo hapo mwenyewe nikampa kisa cha kukimbia kwangu si akataka kununua kesi eti nimpe namba ya huyo mjita wapambane kwa simu nkakataa ila namba yangu akachukua..basi kama siku mbili demu akaniomba gemu tena kwakunisimanga eti labda sio mwanaume,yani nataka nikupe uchi unakataa hmm nkaona madharau haya nkamwambia twende gest manzi akaja.ikapigwa show bao la kwanza hilo.basi kabla ya bao la pili manzi akasema anapenda kugongwa kwa nguvu afu kwa fujo yaaani ile pa pa pa paaa pa.mwamba sinikaaminia eti nataka nimfanyie anavyotaka nikaanza izo pa pa pa pa kainama sasa hapo napiga kwa nguvu fasta fasta....katikati ya show nilipata pararalizi la ajabu.yani upande wa kushoto kuanzia utosi mpaka mguu wa kushoto.nikaanguka huko kama kondoo.umenikumbusha ya mjita hichi kisa siwez kusahau kamwe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mjita alikunyooshaHmm mtu hujamuita huyo.mkuu yani akija leo,kesho anakupumzisha...kesho kutwa ka meseji hako saa 6 usiku nakuja na hapingingiki we tulia utaskia mlango umegongwa.sa huruma zangu nikawa nampokea asilale nje maana anatoka mbali,ndani mixer makofi mawili kumtisha asiwe anakuja huh yani kofi nikama nimempapasa tu.bro mi sio wakupiga wanawake kabisa ila huyu hmmmm alinishinda mpaka nikakimbia geto.ngoja nikuongezee nyama kidogo siku nilipomkimbia akalala nje.nilikua na laki 3 mfukoni huo usiku niliotoroka geto nikaenda nikalewa na mdogo wangu nikalala gesti huh asubui nkajikuta na elfu saba tu.hapo hicho ki dada kila dakika meseji ananitumia nikaikimbia simu nayo.nkatishiwa ana mimba yangu na ataniroga.sijui nilimpaje mimba na kondom nilikua navaa.nkikusimulia hichi kisa sema navunja vunja vipande.kuna demu mtaani ile siku natoroka geto alinikuta nimekaa sehem mwenyew akanihoji mbona upo hapo mwenyewe nikampa kisa cha kukimbia kwangu si akataka kununua kesi eti nimpe namba ya huyo mjita wapambane kwa simu nkakataa ila namba yangu akachukua..basi kama siku mbili demu akaniomba gemu tena kwakunisimanga eti labda sio mwanaume,yani nataka nikupe uchi unakataa hmm nkaona madharau haya nkamwambia twende gest manzi akaja.ikapigwa show bao la kwanza hilo.basi kabla ya bao la pili manzi akasema anapenda kugongwa kwa nguvu afu kwa fujo yaaani ile pa pa pa paaa pa.mwamba sinikaaminia eti nataka nimfanyie anavyotaka nikaanza izo pa pa pa pa kainama sasa hapo napiga kwa nguvu fasta fasta....katikati ya show nilipata pararalizi la ajabu.yani upande wa kushoto kuanzia utosi mpaka mguu wa kushoto.nikaanguka huko kama kondoo.umenikumbusha ya mjita hichi kisa siwez kusahau kamwe
Mkuu kwahiyo kwa uzoefu wako kanda ya ziwa ni kabila gani linatoa 70% ya wife material?Hawa ni ndugu zangu na nawapenda sana.
Lakini sisi wenyewe tulikua tukikaa na wazee wanatuambia, kama inawezekana tuoe makabila mengine.
In a nutshell,
1. Wanabonga sana. SAAANA!. Yaani mdomo uko mbele kuliko komwe!.
2. Kweli wanapenda kusukumiwa mfenenge, kwaio kama kweli gari yako kwenye mlima hua inachemsha, andaa handkerchief maana si haba utasaidiwa.
3. Umbea !
LAKINI sio mabaya tu, hata mazuri wanayo,
1. Wanavumilia sana kwenye shida
2. Wana upendo hasa kwa wazee wako na watoto.
3. Heshima debe, kama unapenda kupigiwa magoti, utapigiwa hadi uzeeni.
All in all, ili utoboe na mwanamke wa kijita lazma uwe mwanaume kwelikweli mwenye amri na msimamo, bora uonekane una kiburi lakn heshima yao utaipata kwa nguvu.
NB: additional, tulivokua wadogo tulikua tunaambiwada mzuri wa kutafta wachumba n kipindi cha kipupwe ambacho watu wanaandaa mashamba, kwaio unakaa njiani uone huyo mpendwa wako akitoka shambani before hajaenda ziwani kuoga. Akipita angalia miguu, kama imepauka kama mbute, kimbia spidi kubwa, inasemekana wa hvo hawavumilii shida. Lakini kama inameremeta japo haijaoshwa, weka makazi. (SINA PROOF)
Hata waume wa kijita the same hawazai na mke mmoja Wanakamatia chini sana.
Nakazia " wajivuni sana" hasa wanaume!, ni balaa!Wewe Unaufahamu ukweli umeamua kumdanganya. Mimi namwambia WAJITA OGOPA KAMA UKOMA.
Washirikina sana, Waongeaji sana, wajuaji sana, wajivuni sana, wambea sana, wagomvi sana, sijui niishie wapi lakini unaweza kujitoa ufahamu ukajaribu ila kama huna pesa utajuta kukutana naye.
mkuu mbona wanaolewa na ndoa zimedumuUsidhubutu kuoa mjita,utanishukuru au utaikumbuka komenti yangu baadae.๐คช๐คช๐คช๐คช
Sababu nadhani ni kukatwa yule askari pale mlangoni...Ni wagumu kukojoa japo wanapenda shoo cjui hisia wanazificha wap
Usiwaletee kiherehere.Watakugonga nukles hadi ulie ..."yuuuwii mamaa weee"...!Wakuu nipokisiwani ukanda wa ujitani,naomba nikili wazi kwa bongo bongo kama hujawai umana na penzi la kijita wewe Bado sana,wakuu hizi jita's ladies ni mtu na nusu,zinajua si kitoto
Wakuu kunamtoto wa kijita nimemuelewa sana,naplan awe my dear wife.
Wakuu nipen zile code za ndani kabisa,maana nayoyasikia adi nawaogopa
Wakuu nipeni za juu juu nisije ria huko baadae,karibuni
SimuliaDuh sina neno ila yalishanikuta
Wajita hawakatwi mzee acha uongoSababu nadhani ni kukatwa yule askari pale mlangoni...
Sawa๐mkuu mbona wanaolewa na ndoa zimedumu
Nnai jirani yangu hana hiyo bidhaa ndugu, au pengine sababu wazazi wake mchanganyiko.Wajita hawakatwi mzee acha uongo
Huo siyo utamaduni wa wajita, wakurya na wajaruo kidogo ndo wana uo utamaduniNnai jirani yangu hana hiyo bidhaa ndugu, au pengine sababu wazazi wake mchanganyiko.
We ni mjita?๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น wanaume khaaa!๐