Ok mimi naweza jibu haya maswali sababu his situation resemble with mine.
1. Faida nilizonayo ni kwamba naweza fanya chochote na kazi yoyote, im very creative ni vile situation yenye niko inanikwamisha sana thats why nahitaji kujaribu mahala pengine ambapo tapata fursa ya kuonyesha uwezo wangu.
2. Umri 26
3. Nchi Canada or USA
4. Desire yangu ya kwenda nnje ni kwa ajiri ya kupata fursa na nafasi ya kusoma zaidi na kufanya kazi zaidi kwa situation yoyote ile na kujiimarisha kimtaji niweze kusimama mwenyewe mbeleni as long as hizo nchi zinatoa nafasi kwa mtu yoyote anaeishi huko kuonesha uwezo wake, tofauti na nchi nyingi za Africa ambapo rushwa na kunyimana fursa na uchache wa fursa vimetawala.
5.So nikitemewa mate na mzungu au mtoto wake, wala sitajari, tamind in my heart ila nitajikaza kiume na kutulia as long as i have my target to bit. na nitajitahidi ku work very proffesional and ignore small shits ili kupunguza risk.
6.Nnje nataka nikafanye kazi zozote available lakini hasa viwandani, na sehemu zinazopata shida kupata watu kama nyumba za wazee, pia nitajiandikisha mitandaoni kama mtu anaefanya kazi yoyote ya muda mrefu hata mfupi (vibarua), ufundi mabomba, garden, cleaner jobs, househelp, driver, etc, na wakati huo nitakua najiendeleza mdogo mdogo kielimu nipate degree zao za huko zinazothaminika (insurance and risk management pia international business + dipromat degrees) , ili after some years niingie kwenye proffesional jobs, pia international driving licence itapatikana, japo kwa sasa nina driving licence ya Tanzania tu class C.
7.Bank sina kitu (savings) bcas ni little bit hard kwa ny situation kufanya servings, hela inaingia na kutoka , ila najua nitahitaji kupata walau Nauri ya ndege, na pesa ya kianzio ya angalau kutoshea hata 1 month, na hii haina shida itapatikana (ikiwemo kuchangiwa na ndugu) kikubwa chance ipatikane ya kwenda then vingine vitakua sorted.
8.Na hapa nitajitahidi hata nipate chuo hasa CANADA, nimeambiwa university of red deer bi little bit affordable na rahisi kupata hicho chuo na waafrika wengi wanasoma hapo, ila hapa kidogo itabidi nitafute hela zaidi and too sad cas itatake time i think, ila kama mtu akitokea kufanikisha kunishika mkono hata kwa 2 semisters tu, then imeisha hiyo na atakua amenisaidia sana.
9.Najua kupata kazi inaweza isiwe easy na sitaki kuingia kinyume cha sheria sababu ni bora niishi nnje (kukosa malazi) nikiwa kwa kushindwa kwangu ila sio nilale nnje kisa sina vibali hivyo nashindwa pata fursa za kazi ama kufight maisha kwa uhuru nikiogopa kudakwa, hapana, nataka niingie kihalali ili niweze kupambana kikweli kweli sio kiwizi wizi.
10.Kuzamia meli ni too risk na sijui ABC zake na kwangu sio good opyion sababu nataka kuingia kihalali, labda nizamie meli kwa kukosa naulu lakini nina makaratasi na vibali vya kuishi huko nakotaka kwenda.
11.Yes hela hata bongo zipo, lakini kuna vikwazo vingi sana yani hakuna hata nafasi ya kujaribu ama kujitolea, na pia kupata exposure kunapanua fikra za mtu, yes unaweza usione fursa hapa, ila ukaenda sehemu nyingine ukaziona kirahisi sana, ndio sababu kuna watu wanaondoka vijijini hawajafanikiwa ila wakienda mjini wanafanikiwa, na wengine mjini hawafanikiwa ila wakienda vijijini wanafanikiwa, mwingine Tz hafanikiwi ila akoenda Kenya anafanikiwa, mkenya vile vile akija tz anaona fursa anafanikiwa na kwao hakuziona, so ni vizuri kujaribu.
12.Nikiambiwa nikae Bongo nilipwe 4M au niende nnje nilipwe 2.5M nitaangalia situation, 2.5M kwa USA au CA ni ndogo sana, tena sana, ila kule kuna fursa ya kufanya kazi zaidi ya moja, kama ni full time basi nitabaki ya bongo ya 4M sababu kwa bongo ni kubwa na tafikia malengo, ila kama hii ya 2.5M ya US itanipa nafasi ya kufanya part time jobs then yes taenda sababu i believe hii itanipa fursa ya kuingiza zaidi ya 4M ya bongo ila nitawekeza TZ kwa hivyo vihela ya wazungu ambavyo kwa husu vina thamani sana.
13.Yes nacheza greeb card every year na pia najutahidi kutafuta, japo pia kama msaada utatokea itakua vema , na pia Green card ikiwezana basi nitashukuru kwa Mungu wa Mbinguni.
14.Niunganishe na huyo dada yes, na nimejibu maswali yako pia mkuu, ukitaka hapa ni sawa, ukihitaji PM ni sawa pia mkuu, shukrani(kwa niaba ya mleta mada)
15.My motive ya kwenda huko ni ili kujaribu kufanikisha malengo yangu, ambayo yes maybe kwa hapa sijaweza na pia hali ya kiuchumi inanikwamisha sana, pia mambo mengine ambayo ni ptivate matter kwa sasa, ila my big motive ni kuweza kupata fursa za kuonesha uwezo wangu na kupata kujiendeleza zaidi kielimu na kumake big investimates in future na sio kuoa wazee ama kutake advantage ya jambo lisilo sahihi.
16.I've handled a lot before hayo ya kusemwa vibaya na kudharauliwa yani hayanipi shida hata kidogo, i have iron heart, i can torelate many ridicurous things as long as im just doing what im supporsed to do, na as long as nina malengo ya kufikia wala hayo hayanipi shida, so yes im strong enough to handle those situations.
17.Yes, im mentally and physically healthy
18.Nimejiandaa ku fight any situations, hapa hapa bongo kuna watu ni ngumu kupata hata hiyo 1000 ya chai asubuhi, lakini im sure and i know that i can win the situation as long as i know im hard working guy basi nachotaka ni hizo fursa tu na si kingine.
Thanks kwa maswali ambayo umeyatoa kwa mtoa mada ila pia nimeyajibu kwa upande wangu sababu pia niko kwenye same situation ya mtoa mada. So pia if you have any connection ambayo unaweza kushare nami then karibu mkuu nitashukuru sana, pia mawazo yako ni muhimu pia. Thanks.