Naomba kujuzwa namna ya kufika Canada

Hello bro, im from Eastern Europe, can we talk? Maybe we can help each other
 
Green card umejaza mwaka gani ?
 
Kwa njia yyte ile utakayopewa zitahitajika fedha kufika safari yako unayotaka kwenda kutoka africa kwenda bara jingine..

So jipange kwa:

PASSPORT: 150,000
Visa application fees : usd $ kutegemea na nchii
Nauli : 1.5mil ~2mil,
Medical chek ups or medical insurance: Tshs: xxxx,xxx/=
Affidavit of support/proof of fund: hapa wanaweza kuhitaji bank statement, mali unazomiliki etc lakini hii hutgemea aina ya visa unayoomba /dhumuni la safari.

Conclusion: wakati unapambana kutafuta njia za kutoka ,hakikisha pia una fedha kiasi ispunguwe walau 3mil.

Jihadhari na matapeli , mwenye uwezo wa kukupa visa ni ubalozi wa nchi husika tu!
 
hela za kutosha, kiasi gani.?
Njia za kupata visa kwa urahisi canada/us or schengen Visa?
 
Haya niliyoandika umejipanga vipi.?
 
M3 inatosha kweli ??
 
hela za kutosha, kiasi gani.?
Njia za kupata visa kwa urahisi canada/us or schengen Visa?
Hiyo inategemea inaweza kuwa 20m au zaidi
Schengen visa unaweza kuulizia kama mtalii Italy au nchi unayoona itakuwa rahisi kwako kama mtalii
Kwa Canada labda uchukue visa ya Cuba upite transit halafu ujilipue kama mkimbizi
 
M3 inatosha kweli ??
Itatosha nauli na visa tu, bado utaihitaji fedha nyingi .. hata bank statement uwe na pesa . Pia itategemea unakwenda kwa njia gani, i.e scholarship/job offer/ au program gani
 
Itatosha nauli na visa tu, bado utaihitaji fedha nyingi .. hata bank statement uwe na pesa . Pia itategemea unakwenda kwa njia gani, i.e scholarship/job offer/ au program gani
Kama ni scholarship angalau uwe na pesa ngapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…