Ni makadiirio tu !, ukishapata ndio utajuwa budget kamili, mpaka ujuwe hiyo scholarship ita cover cost zipi!..Kama ni scholarship angalau uwe na pesa ngapi ?
Shukurani mkuuAnza kwanza kwenda nchi za kiarabu and then hapo ndo utapata connection nzuri za kwenda ulaya
Now nchi ya Qatar Ina makampuni mengi sana Ina ajiri Gardeners na Pamoja na makampuni ya security yanahitaji watu wa kwenda kufanya kazi hizo
Muhimu tafuta passport na kibali Cha kufanya kazi nje ya nchi kinachotolewa na TaESA and the rest is history
Kabisa.nia ndo jambo kuuWeka nia
Asante kiongoziNafasi hizi za kazi. Changamkieni. Hawa ni verified agents.
View attachment 2485015
Nafasi za kazi mnatoa?Karibu tukusaidie. View attachment 2486217
Kuna jamaa wanajiita UCDP Tanzania wapo morogoro i hope watakusaidia if you need them just check me ntakupa contact zao na terms zao thanksHabali wakuu. Mimi ni kijana mwenye miaka 24 ndoto yangu kubwa siku moja nifanye kazi au kuishi nje ya Tanzania hasa bara LA Europe. Lkn bado sijui nitafikaje lkn nimeomba kazi kwa njia ya mtandao lkn bado sijapata pia nimejalibu kuwaomba watanzania ambao wapo huko lkn bado.nimesomea laboratory industry na certificate. Naombeni ushauli wenu ndugu zanguni kwa yeyote ambaye anamwangaza wa huko.ingawa nimesomea fani hiyo lkn nitafanya kazi yoyote ambayo ni sawa kufanya
Sawa mkuu.shukurani sanaKuna jamaa wanajiita UCDP Tanzania wapo morogoro i hope watakusaidia if you need them just check me ntakupa contact zao na terms zao thanks
Mimi nahitaji kazi nje ya nchi lkn naona hizo sikizi vigezoNafasi hizi za kazi. Changamkieni. Hawa ni verified agents.
View attachment 2485015
Njia rahisi nikwenda kwa ajili ya masomo. Wacheki wale jamaa tafuta cheapest course ukifika uko unatafuta na kazi. Vinginevo utasota sana ukisubiri kusaidiwaHabali wakuu. Mimi ni kijana mwenye miaka 24 ndoto yangu kubwa siku moja nifanye kazi au kuishi nje ya Tanzania hasa bara LA Europe. Lkn bado sijui nitafikaje lkn nimeomba kazi kwa njia ya mtandao lkn bado sijapata pia nimejalibu kuwaomba watanzania ambao wapo huko lkn bado.nimesomea laboratory industry na certificate. Naombeni ushauli wenu ndugu zanguni kwa yeyote ambaye anamwangaza wa huko.ingawa nimesomea fani hiyo lkn nitafanya kazi yoyote ambayo ni sawa kufanya
Sawa asante sanaNjia rahisi nikwenda kwa ajili ya masomo. Wacheki wale jamaa tafuta cheapest course ukifika uko unatafuta na kazi. Vinginevo utasota sana ukisubiri kusaidiwa
Nenda kwenye hiyo ofisi wapo Sinza maeneo ya sheli ya GBP ukafanye registration, Huwa wanatoa kazi za Udereva, kazi za ndani, Cleaners pia.Mimi nahitaji kazi nje ya nchi lkn naona hizo sikizi vigezo
Wanatoka kazi za nje?Nenda kwenye hiyo ofisi wapo Sinza maeneo ya sheli ya GBP ukafanye registration, Huwa wanatoa kazi za Udereva, kazi za ndani, Cleaners pia.
Kwa mwanza hizo office hazipo? Mimi nipo mwanza nahitaji hiyo fursa piaNenda kwenye hiyo ofisi wapo Sinza maeneo ya sheli ya GBP ukafanye registration, Huwa wanatoa kazi za Udereva, kazi za ndani, Cleaners pia.