Naomba kujuzwa namna ya kufika Canada

Naomba kujuzwa namna ya kufika Canada

Kama ni scholarship angalau uwe na pesa ngapi ?
Ni makadiirio tu !, ukishapata ndio utajuwa budget kamili, mpaka ujuwe hiyo scholarship ita cover cost zipi!..

Jambo la muhimu kama una malengo hayo lazima uwe na pesa au mtu wakuku support muda wowote ukipata hiyo safari.
Lazima uwe na pesa, so save money
 
Anza kwanza kwenda nchi za kiarabu and then hapo ndo utapata connection nzuri za kwenda ulaya

Now nchi ya Qatar Ina makampuni mengi sana Ina ajiri Gardeners na Pamoja na makampuni ya security yanahitaji watu wa kwenda kufanya kazi hizo

Muhimu tafuta passport na kibali Cha kufanya kazi nje ya nchi kinachotolewa na TaESA and the rest is history
 
Shukurani mkuu
 
Nafasi hizi za kazi. Changamkieni. Hawa ni verified agents.
255787327501_status_9212aacc0671472296780ca52adf560f.jpg
 
Wakuu msaada wenu tafadhari msinitelekeze ,Mimi kijana wenu bado nahitaji msaada wenu.Tusaidiane ndugu zanguni .yeyote ambaye anatamani kunisaidia naomba anisaidie hata kwa mkubliano na miktaba.ndugu zangu nikweli Leo naomba msaada wenu najua wengi wenu uwezo upo. Ndugu zangu Mimi ni MTU wa imani hivyo naamini kabisa maisha ya MTU yapo kwa MTU,hakuna ambaye alipambana peke yake bila msaada wa MTU na akafanikiwa iwe msaada wa pesa,mawazo au elimu.ndg zanguni naombeni msaada wenu mm ni kijana ambaye na miaka 24 situmii chochote lbda kilevi yani sina ,hata kuvuta sigara siwezi hata kushabikia mipra siwezi.hvyo huenda mkahisi lbda sijafikilia kuwaomba msaada hapa.nisaidie ndg zangu.kuna fulaha kutoa kuliko kupokea.asanteni sana
 
Unaposoma MWANZO 1:26 utagundua kwamba mungu hakuumba dunia akiwa peke yake kulikuwa na wasaidizi.hivyo maisha ya mtu yapo kwa MTU haimanishi tuwafanye watu kuwa miungu watu ila mungu hujibu sala ya MTU kupitia MTU. Ndg zanguni ukweli nikwamba msaada ambao mtanipa Mimi ni sawa mmesaidia ukoo Wangu wote. Wakuu hata ikiwa kuna MTU anataka mfanyakazi huko nje asisite kuniambia,kuhusu mshahara ni maelewano kikubwa niwe mazingira hayo.wakuu bado naendelea kuwaomba msaada bado sijachoka ,bado sijakata tamaa ,bado nguvu nayo ila naimani siku moja IPO.asanteni
 
Habali wakuu. Mimi ni kijana mwenye miaka 24 ndoto yangu kubwa siku moja nifanye kazi au kuishi nje ya Tanzania hasa bara LA Europe. Lkn bado sijui nitafikaje lkn nimeomba kazi kwa njia ya mtandao lkn bado sijapata pia nimejalibu kuwaomba watanzania ambao wapo huko lkn bado.nimesomea laboratory industry na certificate. Naombeni ushauli wenu ndugu zanguni kwa yeyote ambaye anamwangaza wa huko.ingawa nimesomea fani hiyo lkn nitafanya kazi yoyote ambayo ni sawa kufanya
Kuna jamaa wanajiita UCDP Tanzania wapo morogoro i hope watakusaidia if you need them just check me ntakupa contact zao na terms zao thanks
 
Habali wakuu. Mimi ni kijana mwenye miaka 24 ndoto yangu kubwa siku moja nifanye kazi au kuishi nje ya Tanzania hasa bara LA Europe. Lkn bado sijui nitafikaje lkn nimeomba kazi kwa njia ya mtandao lkn bado sijapata pia nimejalibu kuwaomba watanzania ambao wapo huko lkn bado.nimesomea laboratory industry na certificate. Naombeni ushauli wenu ndugu zanguni kwa yeyote ambaye anamwangaza wa huko.ingawa nimesomea fani hiyo lkn nitafanya kazi yoyote ambayo ni sawa kufanya
Njia rahisi nikwenda kwa ajili ya masomo. Wacheki wale jamaa tafuta cheapest course ukifika uko unatafuta na kazi. Vinginevo utasota sana ukisubiri kusaidiwa
 
Back
Top Bottom