Naomba kumjua tu Kiongozi wa Simba SC aliyeshindwa Kukamilisha Dili la Khalid Aucho kutua Msimbazi na Yanga SC wakamuwahi na kutua Kwao rasmi

Aucho hana maajabu ya kufanya uwashushe thamani kina chama Bwalya, Mkude, Muzamiru.

We utakua mgeni na yanga umesahau sarpong alianzaje pale yanga, umesahau ujiko aliopewa kalinyo na mikwara ya kumtoa kimchezo opponent kabla ya mechi
 
Hivi aucho hakuwepo kwenye mechi yao na rivers mazee?
Hakuwepo na kwa Uchezaji wake huu ( ule ) angekuwepo nina uhakika angekuwa Msaada mkubwa kwa Yanga SC na huenda isingeishia hapo ( pale ) ilipoishia.
 
Acha uongo, hata wamna yanga saizi ukiwauliza mchezaji wao mzuri ni yupi wanamtaja feisal
 
timu zilizoingia robo fainali caf zinajulikana, tuambie alikuwa timu gani. au unataka kusema alikuwa ulaya daraja la 4. mnasifia mapema mno. huwezi kuona mchezaji akicheza na kagera au rangers ukamsifia. luanga alisifika kuwa bora pale tu alipoanza kuwafunika viungo mahiri wa club kubwa afrika
 
Hakuwepo na kwa Uchezaji wake huu ( ule ) angekuwepo nina uhakika angekuwa Msaada mkubwa kwa Yanga SC na huenda isingeishia hapo ( pale ) ilipoishia.
ngoja tutamuona
 
Ndugu msamehe tu huyo Mwana Simba SC Mwenzangu kwa Ujuha ( Upumbavu ) wake huo na ongea ( bishana ) na Sisi akina Mightier ambao hatuna Unafiki na tunaongelea zaidi Mpira na Ufundi wake.

Yanga SC kwa Khalid Aucho mmepatia.
 
mimi sijauona ufundi wake bado. huwezi kuwa fundi kwa kuwafunika viungo wa kagera. na hapo hapo kipindi cha 2 chote alipotea. simba hawasajili kimihemko
 
Aucho hana maajabu ya kufanya uwashushe thamani kina chama Bwalya, Mkude, Muzamiru.

We utakua mgeni na yanga umesahau sarpong alianzaje pale yanga, umesahau ujiko aliopewa kalinyo na mikwara ya kumtoa kimchezo opponent kabla ya mechi
Swine.
 
Kumbe hizo timu nne ndo Bora kabisa na zenye wachezaji Bora kabisa nje ya hizo hamna mchezaji wa kuwazdi hao eti. Vp timu ya Taifa lwanga na aucho ni Nani ana nafasi? Kwahiyo kama ni takwimu ndo zinaongea mpaka sasa toka ngao ya jamii na ligi kuanza mpk sasa kitakwimu Kati ya aucho na lwanga Nani Bora?
Usiniketee history hapa za club bingwa kama ni Mambo ya history Yanga ni Bora kuliko simba
 
Hatimaye Mightier kapata mtu wa kumkuna. Aucho endelea kumkuna Mightier mpaka haamie Yanga kama alivyohama Manara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…