mchezaji wa maana hawezi kubali sajiliwa na yanga. yaani asionekane kinataifa, asitake mshahara mkubwa kama wa miquison au chama. huo ni ujuha. fei tangu acheze yanga hajachukua ubingwa na wala hamna timu hata moja ya nje iliomtaka.Acha Kunipotezea muda Wewe Moron Ok?
ramli mshaanza kupiga sasa. na zanaco pia hakucheza?Hakuwepo na kwa Uchezaji wake huu ( ule ) angekuwepo nina uhakika angekuwa Msaada mkubwa kwa Yanga SC na huenda isingeishia hapo ( pale ) ilipoishia.
hivi unampaje mtu kuwa kiungo bora kwa mechi moja au 2. hivi nyinyi mpo sawa kweli? hayactuambieni sasa yanga ishapata muunganiko au badoNdugu msamehe tu huyo Mwana Simba SC Mwenzangu kwa Ujuha ( Upumbavu ) wake huo na ongea ( bishana ) na Sisi akina Mightier ambao hatuna Unafiki na tunaongelea zaidi Mpira na Ufundi wake.
Yanga SC kwa Khalid Aucho mmepatia.
achana nao hawa wasiojua mpiraSawa, lakini ni mapema sana kumpa sifa hizo ambazo naona kama mnam-overrate tu
kuita mcheza timu ya taifa ni utashi wa kocha, anaweza akaja mwingine akawaacha wote hao na akamuita mwengine. kuitwa timu ya taifa hakukufanyi kuwa bora ya alieachwaKumbe hizo timu nne ndo Bora kabisa na zenye wachezaji Bora kabisa nje ya hizo hamna mchezaji wa kuwazdi hao eti. Vp timu ya Taifa lwanga na aucho ni Nani ana nafasi? Kwahiyo kama ni takwimu ndo zinaongea mpaka sasa toka ngao ya jamii na ligi kuanza mpk sasa kitakwimu Kati ya aucho na lwanga Nani Bora?
Usiniketee history hapa za club bingwa kama ni Mambo ya history Yanga ni Bora kuliko simba
Makolo muli bwanji mama. Kwahiyo wachezaji WA makolo WA ndani walioitwa timu ya Taifa wengi kuliko WA yanga hawana ubora kuliko WA yanga ambao hawajaitwa Ila ni utashi Tu WA kocha na si ubora si ndiyo?kuita mcheza timu ya taifa ni utashi wa kocha, anaweza akaja mwingine akawaacha wote hao na akamuita mwengine. kuitwa timu ya taifa hakukufanyi kuwa bora ya alieachwa
NimEGUndua Jamaa huna akili au hufatilii mpira kabisa Ila umejaa ushabiki Tu. Mechi ya zanaco aucho hakuwepo alikuwa timu ya Taifa aucho kaanza kucheza mechi ya ngao ya jamii na mechi ya pili ni ya Jana na kagera.ramli mshaanza kupiga sasa. na zanaco pia hakucheza?
Hata kama angecheza kwahiyo yanga kufungwa mechi hiyo kungemfanya aucho kutokuwa Bora si ndiyo? Tatzo makolo mnajiona Bora Sana na kuingia na matokeo UWANJANI mnadhan nyie mna haki ya kushinda Tu si droo WALA KUFUNGWA as if timu ZINGINE zpo kwenye ligi kuwapa ushindi ninyi. Kama ndivyo basi msimu uliopita ruvu na prison walikuwa na kikosi Bora Sana kuliko makolo maana waliwafunga tena kwenye kapeti la uwanja WA Taifa kabisa.ramli mshaanza kupiga sasa. na zanaco pia hakucheza?
Wewe kolo ndio unaona umenitukana wakati timu yangu inaingiza hela endelea na akili za utopolo.Kama okwi alivyoachwa. Makolo muli bwanji mama.
Ndio ukwelimchezaji wa maana hawezi kibali sajiliwa na yanga
Makolo ulibwanji mama? Hela za Mo zmekuwa za makolo na bado Mo anawambia anapata hasara. Makolo kwenye akaunti mna shilingi ngapi za chama ama Luis mpaka sasa.Wewe kolo ndio unaona umenitukana wakati timu yangu inaingiza hela endelea na akili za utopolo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu anakukuna sehemu gani?
hakuwepo.Hivi aucho hakuwepo kwenye mechi yao na rivers mazee?
Wewe haujawahi kuwa simba hata siku moja!! Unachofanya ni kubadili badili ID tu.Unahitaji Chama, Bwalya, Mkude, Muzamiru, Lwangana hata Ndemla ili angalau tu kuufikia uwezo mkubwa alionao Kiungo ninayempenda na namkubali wa Yanga SC Khalid Aucho.
Naomba Yanga SC ikirejea Dar es Salaam japo Mimi Mightier ni mwana Simba SC lia lia lakini Furaha yangu Kubwa ni kupiga tu Picha nae hata kama akiwa amevalia Jezi za Yanga SC sitojali.
Ana kila Kitu ambacho Kiungo makini na wa Kimataifa anatakiwa awe nacho na si hawa Wengine ambao Sifa yao Kubwa ni Kucheza tu Mirafu ya Kipumbavu na kupatapata Mikadi tu ya Njano na Nyekundu.
Shikamoo Khalid Aucho unanikuna sana.
Hakika wewe ni mpuuzi wa kiwango cha lami, Kama ujui kitu uwe unauliza unapewa data sio unaamka umeshiba makande unaandika upuuzi apa, unajua Aucho amepitia vilabu gani wewe mpaka anakuja kutua yanga? Na unajua ivyo vilabu vinacheza ligi gani na yenye ushindani gani barani Africa? Achilia mbali kucheza timu yake ya taifa ambapo anamuweka benchi uyo lwanga unaemsifia, iyo post yako inaonyesha kabisa ulivyo shabiki oya oya asiependa kujishughulisha na takwimu bali Unajishughulisha zaidi na udaku, umbea na undezi wa maneno ya mitaani, Unapotaka kumlinganisha kharid aAucho na kina mzamiru cijui ndemla ninakuwa na wasi wasi na uelewa wako wa masuala ya soka, maana ata kama ni ushabiki huo wa kwako umepitilizaanacheza na viungo gani, usimsifie anaekimbia muangalie na anayemkimbiza pia. viungo wa simba wamecheza na viungo bora kabisa afrika wakiwemo wale viungo wa mabingwa mara nyingi afrika yaani al ahly na mabingwa wa pili afrika yaani tp mazembe na bado wapo kimya. aucho amecheza na viungo gani wa maana. mbona swali rahisi sana
Kwahiyo kwavile timu aliyokuwa haikuwahi kufika robo fainali, basi timu kama Al Ahyl, Zamalek au hata Pyramid, walikuwa hawachezi nao kwenye ligi?timu zilizoingia robo fainali caf zinajulikana, tuambie alikuwa timu gani. au unataka kusema alikuwa ulaya daraja la 4. mnasifia mapema mno. huwezi kuona mchezaji akicheza na kagera au rangers ukamsifia. luanga alisifika kuwa bora pale tu alipoanza kuwafunika viungo mahiri wa club kubwa afrika