Classic player ukimfananisha na nani?Nilijua tu wapenda timu watakuja na mawazo ya namna hii but kwa watu ambao ni wanasoka i mean wale wenzangu na mm wapenda soka tunasema kwa pamoja kwamba Aucho ni Classic player, mkuu acheni kupenda timu pendeni mpira utaishi vizuri sana kwenye maswala ya soka.
Umeanza kufuatilia soka lini?!mchezaji wa maana hawezi kibali sajiliwa na yanga
Namlinganisha na Mzamiru Yassin,nadhan moyo wako umefurahi sasa,[emoji23][emoji23][emoji23]Classic player ukimfananisha na nani?
usimsifie anayekimbia angalia na anayemkimbiza. viungo wa simba wamecheza na kuwafunika viungo wa al ahly na tp mazembe, yaani timu bora za afrika.aucho anakabana na viungo wa kagera na friends rangers ambao hata mishahara hawapati unakuja kuongea upupu hapa
Mna mchezaji gani mwenye kumfikia uwezo Feisal?mchezaji wa maana hawezi kibali sajiliwa na yanga
Kwani Sadio KANOUTE mlimnunua kutoka Al Ahly Tripoli?Mbona aliachwa na timu yake huko misri
Mzamily, mkude, luanga ulivyo wataja kama mtu awajui atahisi majamaa yanakipiga sana sasa ayaone uwanjani nguvu mingi akili ndogo.mfano unamtoa nani pale simba ili acheze huyo. hebu niambie huyo aucho anacheza na timu zipi pinzani ili umsfie. mfano luanga, mkude, mzamiru wanapambana na viungo wa al ahly, mazembe, kaizer. sasa aucho anacheza na viungo wa DTB, FRIENDS RANGERS, KAGERA ALAFU UNASIFU
Acha uongo, hata wamna yanga saizi ukiwauliza mchezaji wao mzuri ni yupi wanamtaja Feisal
Mbona unacheka mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kitwakimu wote hawa ni wachezaji wa kawaida sanaMna mchezaji gani mwenye kumfikia uwezo Feisal?
Mna mchezaji gani mwenye kumfikia uwezo Aucho?
kutoka 2013 hadi 2021 aucho ana magoli 9, what a garbage?Ni kweli.
Sura ya Feisal Salum ni nzuri kuliko ya Aucho, ndio maana wanayanga wengi wanasema Feisal ni mzuri kuliko Aucho.
Ndio hakucheza alikuwa na timu ya taifa ya Ugandaramli mshaanza kupiga sasa. na zanaco pia hakucheza?
Kikubwa ninachokupendea muda mwingine unakua mkweliUnahitaji Chama, Bwalya, Mkude, Muzamiru, Lwangana hata Ndemla ili angalau tu kuufikia uwezo mkubwa alionao Kiungo ninayempenda na namkubali wa Yanga SC Khalid Aucho.
Naomba Yanga SC ikirejea Dar es Salaam japo Mimi Mightier ni mwana Simba SC lia lia lakini Furaha yangu Kubwa ni kupiga tu Picha nae hata kama akiwa amevalia Jezi za Yanga SC sitojali.
Ana kila Kitu ambacho Kiungo makini na wa Kimataifa anatakiwa awe nacho na si hawa Wengine ambao Sifa yao Kubwa ni Kucheza tu Mirafu ya Kipumbavu na kupatapata Mikadi tu ya Njano na Nyekundu.
Shikamoo Khalid Aucho unanikuna sana.
hawa wanaomsifia wahuni tu. mechi moja tayari anajuakutoka 2013 hadi 2021 aucho ana magoli 9, what a garbage?
vipi kwanza yanga ishapata muunganiko au badoMzamily, mkude, luanga ulivyo wataja kama mtu awajui atahisi majamaa yanakipiga sana sasa ayaone uwanjani nguvu mingi akili ndogo.
yanga ishapata muunganiko au bado? jibu kwanza. feisal tangu ajiunge na yanga hajabeba kombe zaidi ya ubaoMna mchezaji gani mwenye kumfikia uwezo Feisal?
Mna mchezaji gani mwenye kumfikia uwezo Aucho?
hukuona au unabisha tuYaani mechi ya juzi na TP Mazembe? Yaani viungo wa simba waliwafunika viungo wa TP Mazembe? π π π