Naomba kuongea na wadogo zangu wa kike wenye kutafuta ndoa

Kama huna iman ya kimungu na maadili ya kifrican me naomba kuwasalisha ndg
 
Umeshamuonq mnyamab
Umeshawahi kumuona mnyama dume halafu walinazi?
Mie kuto muona mnyama Dume, afu wali Nazi, haimaanishi hayupo/hawapo.

Na mnyama unazungumzia yupi? Hata Binadamu ni mnyama pia, usisahau hilo.
 
Brother Mshana Jr ndoa ni stara kwa wanawake wachache sana. Wengi kwao ndoa ni mahara pa kuhudumiwa pale ambapo wanavuka umri wa kuhudumiwa na baba zao. So baba wa ukubwani (mwanaume) anachukua nafasi ya kuhudumia huyo binadamu Ke.
 
Kama huna iman ya kimungu na maadili ya kifrican me naomba kuwasalisha ndg
Nafikiri tungejadili kwa uwanda mpana, ili wote wapate kuwa ndani ya target.

Sasa hizi Imani za kimungu, na maadili ya ki Africa. Kuna watu/kundi wanakuwa hawapo automatically ktk hili.

Wee unaonaje hapo?
 
"Wali Nazi" najua umemaanisha Shoga (msenge). Je nikuulize msenge anayeweza kuchukua na kutimiza majukumu yote ya u mume na u baba, hafai kuwa mume?

Note: Utakvyokua unajibu hakikisha umeelewa hili swali kwa ufasaha.

Mume au baba Bora hawezi kuwa shoga
 
Eeh.. Huyu mtoto amekuwa sasa πŸ˜‚
 
Zodiac and Numerology ni muhimu kwa mwanadamu hasa kwenye kupengele cha kusudio la muunganiko wa kipindi cha muda mrefu. Nakurudishia pasi mzee wa kilinge kwako Mshana jr
Numerology na genogram ni noma sana, mtu unaweza kujua hadi kama kuna possibility ya kufa mapema, tabia na afya ya mwili na mambo mengine mengi.

Nadhani somo la family tree liongezewe maarifa maana huko ndio kuna mambo ya numerology
 
Sasa hapo my reasons including za mr Mshana Jr zimebase kwa iman ya dini na african culture.
So ni ngumu kumuweka kweny target mtu ambaye tayal anamindset ya walinazi. Tutakuwa tuahubili na kumponda tu sababu ni maadili tofauti kbs
 
"Wali Nazi" najua umemaanisha Shoga (msenge). Je nikuulize msenge anayeweza kuchukua na kutimiza majukumu yote ya u mume na u baba, hafai kuwa mume?

Note: Utakvyokua unajibu hakikisha umeelewa hili swali kwa ufasaha.
Inategemea sana na nafasi anayoicheza kwenye huo uwali nazi. Kama ni mende anaweza akawa mume bora kabisa sababu hiyo tabia ya uwali nazi huwa upande wa mende wanajificha sana maana ni tabia ya aibu kwa wengi wao.

Jibu lako ni inategemea sana na position anayoicheza mhusika. Maana wapo mende ni wafuasi wazuri tu wa maadili na since maadili ndio yanatumika kupima ubora wa mtu basi yes wanaweza kuwa waume bora pia.
 
😁😁😁
 
Sasa hapo my reasons including za mr Mshana Jr zimebase kwa iman ya dini na african culture.
So ni ngumu kumuweka kweny target mtu ambaye tayal anamindset ya walinazi. Tutakuwa tuahubili na kumponda tu sababu ni maadili tofauti kbs
Naona unaji defend, mie sijasema mindset ya u wali Nazi, nimesema kuhusu imani za Kimungu na maadili ya ki Africa, kwani wote ambao hawako ktk mlengo huo ni Wali Nazi?

Usipotoshe na usipindishe mada, tubaki kwenye mada husika, na tujadili kwa kina.
 
Kwani kuhusu position hujaona nimesha specify hapo "*******"
Nani hajui hii nchi Mende hawana shida na wako safe? Na ndio most popularity ya raia wa hili Taifa?

Kabla ya kujibu swali, soma na uelewe kwa ufasaha, nilishamaliza kila kitu kwenye swali, yaan hakuna vipengere, labda muwe navyo watoa majibu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Okay je hoja nimetoa au sijatoa na Kama nimetoa kipi ambacho kinabidi kifatie.

Mimi nasubiri hoja zako ambazo zitaelezea kuwa shoga anabidi kuoa au ukanushe hoja zangu kwa fact.
 
Umegusa penyew mzee
 
OK basi sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…