Naomba picha ya Stendi kuu ya mabasi Moshi nione kama ina tofauti na ile ya Bukoba tujiridhishe na CHADEMA!

Tope tupu.

Ya Moshi wamejenga kwenye chemchem ya maji!

Wahaya na Wachaga akili zao zinafanana!
Bora hao wachaga wamejenga na stendi yao ya sasa sio mbovu kama ya bukoba.

But bukoba toka nimekuwepo hauna stendi ule mji kabisa.

Mji mdogo wa kibaha Una stendi nzr but bukoba manispaa kabisa but vichochoro
 
Stand ya Moshi ni nzuri kuliko airport nyingi tu.

 
Bora hao wachaga wamejenga na stendi yao ya sasa sio mbovu kama ya bukoba.

But bukoba toka nimekuwepo hauna stendi ule mji kabisa.

Mji mdogo wa kibaha Una stendi nzr but bukoba manispaa kabisa but vichochoro
Tatizo la nshomile mnategemea kujengewa kila kitu na serikali. Ona stend mpya ya Moshi ni nzuri kuliko K’Njaro International Airport.
 
Huyu mbunge yupo sawa kweli?
Hizi fedha ni mikopo nafuu kwa ajili ya miundo mbinu
Kama katavi
barabara za mitaa dar
Singida
Moro
Moshi
Korongwe na kwinginepo

Lakini pia kama imeshindikana basi Mkuu wa Mkoa, Mbunge wakitengeneza fund raising wapate billions kadhaa mbona inapatikana tu kuna wahaya wengi nje ya nchi na wengine ndani ya nchi wana hela na wanaweza kuijenga Bukoba kwa mikono yao
Byabyato vipi huyu jamaa
.
 
Kashangaa ?
Alikuwa hajawahi kufika Geita ?
Na mimi namshangaa kwa yeye kushangaa kama vile ni mgeni Tanzania...
 
Duh ni Tanzania hapa? Embu ona maeneo ya jirani na stend mpya ya Moshi huko Rau Mmawia.
 
Compare stand ya Moshi na Kahama, itakayopita ndio uicompare na Bukoba.. ..


πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…