Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Unadanisha uji na mbege.Sina mambo mengi naomba bwashee yoyote mwenye picha ya stendi kuu ya mabasi pale Moshi aitupie hapa.
Manispaa ya Moshi kwa muda mrefu imeongozwa na Chadema nataka kujiridhisha na ubunifu wao.
Hapa Iringa Chadema walijitahidi wakatujengea Stendi ya kisasa pale Igumbilo ila sijajua kule Mbeya kwa Sugu hali ikoje.
Mungu ni mwema wakati wote!
Nyie stendi yenu ilijengwa na kabila la wachaga? Au serikali?Tatizo la nshomile mnategemea kujengewa kila kitu na serikali. Ona stend mpya ya Moshi ni nzuri kuliko K’Njaro International Airport.
View attachment 1797894
Location ya stendi za sehemu mbili zipo tofauti bukoba ipo pembeni ya mji na ya Moshi katikati ya mji.
unaweza kukuta huyu kambale ni ndugai mwenyewe.Jo sometimes nalinganisha akili zako na za ndugai
Mbona umeweka render mzee.
Inaonekana viongozi wa bukoba wanaogopa kukopaHuyu mbunge yupo sawa kweli?
Hizi fedha ni mikopo nafuu kwa ajili ya miundo mbinu
Kama katavi
barabara za mitaa dar
Singida
Moro
Moshi
Korongwe na kwinginepo
Lakini pia kama imeshindikana basi Mkuu wa Mkoa, Mbunge wakitengeneza fund raising wapate billions kadhaa mbona inapatikana tu kuna wahaya wengi nje ya nchi na wengine ndani ya nchi wana hela na wanaweza kuijenga Bukoba kwa mikono yao
Byabyato vipi huyu jamaa
.
Labda ukiangalia stendi na soko but kimajengo,upana na mandhari big noMusoma ni pazuri kuliko Bukoba,kimipango na kimuonekano pia
Hata maeneo mazuri bukoba yapo.Duh ni Tanzania hapa? Embu ona maeneo ya jirani na stend mpya ya Moshi huko Rau Mmawia. View attachment 1797910
Kwa sasa ukimsifu jiwe unaonekana kama sio mwehu basi hanidhi !!!Fikra zake hazijafa!
Location ya stendi za sehemu mbili zipo tofauti bukoba ipo pembeni ya mji na ya Moshi katikati ya mji.
Piga picha mji wa bukoba kueleka ziwa Victoria na bandarini ndo inaendana na picha hiyo ya Moshi.
But all in all stendi ya bukoba ni mbovu nakubali 100%
Mimi mwenyewe nashangaa kukutana na vitu kama hivi huko Moshi vijijini instanbul, Mmawia.Hata maeneo mazuri bukoba yapo.
Kama hapa maeneo ya kiroyera beach
Changamoto ya bukoba ni stendi ya mabasi na baadhi ya miundombinuView attachment 1798236View attachment 1798237
At least hapa but umeonesha maeneo machache .tuseme old bukoba yaan kata mbili za miembeni na bilele.ambazo ndo zinatengeneza sehemu kubwa ya tambalale uliyopost hapa.sijaona kata za rwamishenye,kashai,kisindi,nshambya ndo haipo kabisa,kahondo,ijuganyondo,buhembe ,kahororo ,nyanga,bakoba yenye bandari bila shaka kwenye picha zako no bandari,pamoja na kata kahororo ambayo ipo milimani
Unaona unavyopata shida kupiga picha ya bukoba yote ukiwa angani na bado ulikuwa mbali Sana na nyumba.Bukoba imepanuka mno na ina vilima vilima. Sio kama moshi mji mdogo ni rahisi kuchukua picha yote.
Hata bukoba vijijini Mambo haya mazuri yapo pamoja na kutokuwepo na utalii wa mlima Kilimanjaro kama moshiMimi mwenyewe nashangaa kukutana na vitu kama hivi huko Moshi vijijini instanbul, Mmawia.View attachment 1798569
Sasa ukitaka kuona mji wote itabidi ipigwe picha ya mbali kitu ambacho utaona ukijani tu kama hiviAt least hapa but umeonesha maeneo machache .tuseme old bukoba yaan kata mbili za miembeni na bilele.ambazo ndo zinatengeneza sehemu kubwa ya tambalale uliyopost hapa.sijaona kata za rwamishenye,kashai,kisindi,nshambya ndo haipo kabisa,kahondo,ijuganyondo,buhembe ,kahororo ,nyanga,bakoba yenye bandari bila shaka kwenye picha zako no bandari,pamoja na kata kahororo ambayo ipo milimani
Bukoba ni Pana na ina milima milima. Na kuna milima imejengeka vzr Sana kama vilima vya kashura,migera na kibeta
Pamoja na kuwa bukoba kuna stendi mbovu.but wananchi wa mkoa huu hasa wahaya hawapo nyuma katika sekta ya kujipenda.Mimi mwenyewe nashangaa kukutana na vitu kama hivi huko Moshi vijijini instanbul, Mmawia.View attachment 1798569
Bado hujamaliza mji wote. Umeishia kagemu bado kata mbili hazipo .Sasa ukitaka kuona mji wote itabidi ipigwe picha ya mbali kitu ambacho utaona ukijani tu kama hivi View attachment 1798611View attachment 1798612
Bukoba imesambaa eneo kubwa kuliko MoshiBado hujamaliza mji wote. Umeishia kagemu bado kata mbili hazipo .
Na upande wa kulia ukaishia mafumbo bado kata za kahororo na sehemu za kashai hazionekani zimefunikwa na mlima.
Bukoba ni ngumu kupiga picha mji wote na ukiupiga basi hautaona kitu chochote maana utakuwa mbali mno.
Bukoba imepanuka Sana. Kutoka hapo Tu kagemu mpaka bandarini ni zaidi ya 10 km pima kama utajaribu distance.bado kyakairabwa mpaka airport, kyakairabwa bunena ,
Kahororo ipo mbali mno ni kama 15 km kutoka rwamishenye. Bukoba inapanuka Sana pembeni kuliko katikati.
Kama unavyoona bukoba haijabanwa na vijiji kama moshi. Bado kuna viwanja kibao kule bulibata na buhembe plus kyakairabwa tofauti na Moshi iliyobanwa na vijiji.
Anyway ukiangalia hata satellite images bukoba ni kijani na imejengeka pembeni kuliko katikati ya mji kwenye utopolo kama stendi