Naomba picha ya Stendi kuu ya mabasi Moshi nione kama ina tofauti na ile ya Bukoba tujiridhishe na CHADEMA!

View attachment 1799016
Bukoba haina mipango,haina tofauti na Mbagala
We huoni bukoba umepigia picha mbali mno hata haionekani vzr.bukoba ni mji wenye milima

Hapo Tu naona kata mbili Tu za bukoba.




Bukoba ni nzr kimandhari, imejengeka na kusambaa huwezi piga picha ya mji mzima ukaona kitu zaidi ya utopolo kama uliyopost hapa.



Kwa kanda ya ziwa baada ya mwanza hakuna mji uliojengeka kimajengo kama bukoba achana na slums zinazotengeneza mji wa kahama.


Tengua kauli. Bukoba huwezi linganisha na mbagala kule uswazi


View attachment 1799139View attachment 1799135
 
View attachment 1799017
Musoma inavutia sana lakini hainaga promo
Tuseme ukweli huwezi linganisha bukoba na musoma labda ukiangalia stendi Tu.


Bukoba iko mbali mno na inachangamka sana. Ndo maana kuna bandari mbili zilizo busy, kuna busy airport,kuna ujenzi kila mahali .juzi Tu udsm wameanza ujenzi wa Tawi la chuo kikuu, na shule kibao.bado barabara zake ziko busy huwezi linganisha na musoma.


Kama unabisha leta picha za musoma nami nilete bukoba kama hutakimbia hapa
 
5 August 2022
Moshi, Kilimanjaro
Tanzania

KITUO CHA MABASI MOSHI CHAWAINGIZA MAWAZIRI KWENYE 18 ZA KATIBU MKUU CCM

Mradi wa kituo kipya cha mabasi cha kimataifa Ngangamfumuni mjini Moshi, Tanzania unaendelea kupasua vichwa vya viongozi wa CCM kutokana na mradi huo kuonekana ni fupa lililoshindikana ingawa mabilioni ya fedha tayari yametolewa huku CCM ikitoa maelezo ilani yake ya uchaguzi ina nadi ingeweza kuukamilisha 2020
 
Ngese
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…