Naomba ushauri: Mwanamke wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa

Nipo nawaza hapa mkuu nimpige mimba ndo nimsomeshe hata akija kunigeuka baadae najua tayar nipo na mtoto wangu ashanizalia tayar nakuwa nimepunguza machungu nimawzo nawaza
Utatengeneza singo maza very soon!!! Mchumba hasomeshwi na uzuri unaonekana unajua madhara ya kumsomesha , kama unaona ni wa kutulia na wewe muoe umfungulie biashara atulie
 
Wadau kuna demu wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa naomba ushauli wenu fafadhali
Ukitulea swali kama hili outomatic tutakushauri kuwa mchumba hasomeshwi ...... ngoja nikushauri ivii ..... kama hutojali mtafte mwanasheria andikisha neni ... mta andikishana nini mtajua nyie ila lazma uthibitisho flani uwepo kama mlikubaliana kwa mandishi kisheria ....utanishukuru badaye
 
Msomeshe kwa makubaliano maalum maisha yana badilika ndugu ... usipo angalia huo ni mtego katika maisha yako
 
Tunavyoandika hapa kesho nenda kamtie mimba, mwezi wa tisa ndoa, fungate mwezi mmoja "october", mwezi wa 11 aende chuo. Ataenda mimba akiwa na mimba ya miezi minne, kutoa itakuwa ngumu "risk", hata akimpata jamaa huko chuo mimba itakuwa imekimbia miezi 5 - 6.

Ukichelewa hapo, ataenda chuo mimba itakuwa na mwezi mmoja au miwili,, akipata jamaa akamkaza vizuri, mimba itatolewa ikiwa na miezi mitatu, atakwambia imeharibika, utaendelea kusomesha bure, ukiomba uweke mimba nyingine atakuletea visingizio kadha wa kadha.

Then utakuwa completely finished and finished completely.
 
Binafsi sikushauri ndugu yangu utakuja kufa vibaya wewe mpka anapata nguvu ya kumwambia umsomeshe jua hakupendi demu akikupenda hata kukuomba 10k tu anaogopa anajifikiria mara mbili mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…