Naomba ushauri: Mwanamke wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa

Mkuu hivi upo serious Kweli?? au unatuchora.
 
Shida yako Mwaibilee!!uhudhurii vikao vyetu,,,unajiona cheki bobu hutaki kukua kwa fikra ,mawazo na mitazamo ya kiume zaidi!!!Wasaidie tuu kumsomesha huyo demu wako kwa akili yako yote,,na kwa nguvu zako zote ,na cha kuongezea zaidi na kwa Moyo wako wote,,Utabarikiwa mnoo na Mnyazi Mungu!!!
 
Ndio mkuu kamaliza six ndo yupo anangoja afanye process za kuomba chuo na mkopo zikishaaza mwaka huu ndo naombea hapa bora apate huo mkopo wake niwe namboost vitu vidogo vidogo
Kupata uhakika. Kikubwa kuzingatia vigezo na masharti.

Au alikuwa na uwezo duni?
 
Code red! Man down! Man down! Captain do you roger! I repeat the mission has been compromised, we need a cover over[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Roger!

Extraction team is on the way, stay put and avoid exposure, sniper is all over the battle field according to our Intel.

Roger!
 
Mkuu nipo serious kabisa mkuu ndo maana nimekuja kwenu wakuu ili hata nikifanya decision bas iwe sahihi isiyokuwa na majuto baadae
Kama upo serious.

Usimsomeshe huyo mchumba wako sababu ipo hivi.

1.Ataenda, atapata saizi yake atakolea kwenye Mahaba mazito wewe atakusahau.

2. Atakuacha kikatili sana na hautaamini kama ni yeye.

3. Unaweza kuua kwa hasira ukaozea jela

Wanawake wengi ndio wapo hivo Kiongozi.

Wanawake wenye misimamo Mimi nawaita Wanawake wa Chuma wapo ni nadra sanaaaa kukutana nao na nina uhakika huyo wako Sio.

Hivyo usijisumbue Kiongozi kusomesha mchumba.

Mchumba hasomeshwi Kiongozi..
 
Nipo nawaza hapa mkuu nimpige mimba ndo nimsomeshe hata akija kunigeuka baadae najua tayar nipo na mtoto wangu ashanizalia tayar nakuwa nimepunguza machungu nimawzo nawaza
Kwanini usimuoe Kwanza kuna haja ya kumpa mimba before kumuoa??
 
Mimi sikushauri chochote' ila baada ya miaka mitano mbeleni naliona GEREZA likifunguliwa na JEMBE linaingia kwenda kutumikia kifungo Cha kutokurudi uraiani .
 
Wengi wao huwa ni wasikivu mkuu tena wana nidhamu ya hali ya juu kabla
 

Apo kwenye kukukopesha iyo hela uo ushaur akiufwata ipo siku ata kushukuru [emoji38][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…