Naomba ushauri: Mwanamke wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa

Ushauri wa kiutu uzima, muoe kisha msomeshe akiwa mkeo kabisa na pia umdunge na mimba ya kwenda nayo chuo ili hata huko mbeleni akikutosa elimu yake itamsaidia na mwanao
Unajua anamsomesha ngazi gani? Na ukute ndio kwanza kamaliza f4f4 miaka 16
 
Utakuja ulie kilio cha mbwa koko, acha huo ushamba wa kuongozwa na hisia.
Mpenzi hasomeshwi, huu mwaka wa pili sasa toka nipigwe tukio la kusomesha mpenzi niliyetoka mbali naye sana na sasa ni mke wa mtu.
Kama unataka kujihakikishia piga ujauzito akuzalie kwanza la sivyo acha ushamba wa kusumbuliwa na hisia km za movie la kihindi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…