Naomba Ushauri: Naona kazi ya Ualimu inataka kunishinda

Kumbe hivyo tu mkuu? Mwanzo mzuri huwa unachangamoto, hivyo ni kawaida... Hapo unatakiwa kukaza tu mkuu... Hiyo ndo kazi yako.... Ukifanya kwa muda utazoea tu.....
 
Jamani samahanini lunch break imeisha...ninarudi kwenye kipindi mara moja
 
Aaah mzee Wewe unaongea tu,ushawahi kusimama mbele ya ubao kama professor? Tena proffesa kijana?
Mimi sijasimama huko chuon mbele ya hao wanafunzi ambao washagongwaaa weeee hata hawana kipya ukitoa ma make up hayo..
Mimi nimesha fundisha vibinti vya sekondary, bado vya moto moto vifua vimechachamaa saa 6..

Sio hao maveterani wa ngono majusus kabisa wanaokuzuzua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…