Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,243
- 3,047
Kwani vicoba sh,ngapi??kajiunge vikoba
NAKAZIAMalizia na hii
PIGA NYETO
NUNUA BABYCARE
NUNUA GEISHA
Unamuacha???Nahamia hapa soon, siwezi kuteketeza pesa kiasi hiki
Nalea na kuhudumia kenge kama ninyi 4!Huyu ashaleft kwenye grupu letu la wenye majukumu ,inavyoonyesha ye ndo analelewa na mke badala ya yeye kumlea mke
Haumpendi, mpage 5000 kwa siku mwambie hali mbayaKama nisingekuwa naye sasa ningekuwa nishaanza ujenzi
Kasome vizuri seerah ya Mtume Muhammad (pbuh).Mtume hakulipiwa mahari alikua mfanya biashara sio muosha viombo.
Hana mke kaamua tu kupiga vita ndoa ki tafsida.Kwani vicoba sh,ngapi??
Sema amuelekeze mkewe apunguze matumizi yasiyo ya lazima,
Braza wewe hukua na hela hata kabla kuoa kwa jins ulivyochanganya lugha hapi juu.Kabla sijaoa nilikua na maisha mazuri sana, hela ilikuwa inakaa mfukoni, laki tatu inakaa hata miezi mitatu .....
........., mimi kama mwanaume naweza kununua hata maandazi matano nikanywa na juice na siku ikaisha ila kwa mke
Nimegundua kuwa kuoa ni hasara kubwa sana duniani .....
NJOO NI KUTOLEE MAHARI MBOGA SABA WEE,yaani unajitutumua kabisa et we ni mwanaume mbele ya wanaume wenzako, eti we ni mwanaume wakati umeolewa? huyo manzi navyojua unafua ha pichu zakeNl
Nalea na kuhudumia kenge kama ninyi 4!
Ahahahahaacha mahangaiko.... 'sheria mkononi, amani moyoni'
View attachment 2658527
Kweli hamna ndoa hapa[emoji23]Hana mke kaamua tu kupiga vita ndoa ki tafsida.
watu wanaojitambua na waliooa maisha yao yamekua yana mwanga kuliko walivyokua mabachela
kwanza ukiwa na mke gharama ya vyakula inakua ndogo kwasababu utanunua mahitaji atakua anapika nyumbani.
kwa sisi mabachela tunaokula migahawani tunajua ni jinsi gan ilivyo gharama kununua vyakula tena havieleweki alaf unakula Milo miwili tu kwa siku.