Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 949
- 2,038
- Thread starter
-
- #41
Nashukuru sana kiongozi UbarikiweSasa hapa nakupa dawa niliyotumia mimi, huwezi kufeli. Tongoza demu mzuri kupitia facebook, usitumie ile mitandao ya dating...,maana huna uzoefu, facebook una a good chance ya kutongoza bila aibu, na utapata mtu decent wa kufanyia majaribio.., na ondoa woga kabisa, hakuna aliyezaliwa anajua kufanya..
Mshawishi aje ghetto kwako, usiende nae gesti, maana hiyo itakuongezea anxiety, na mwisho wa siku akikuvulia kwa pupa mapigo ya moyo yanaweza kuongezeka yakaenda mbio, na hutaweza kufanya kitu.., ila ghetto una nafasi ya kum-tune taratibu hadi unakaa nae sawa...,ukishafanya tu mara moja, utapata bonge la confidence, na tatizo litakuwa limeisha hapo
Kwamba mpka miaka 20 bado hana experience dah mambo yanaenda slow duniani eehhMiaka 20 Nyeto ndio umri wake usiogope. Sema kama upo Dar mdogo mdogo anza kuflirt na wale wadada wa Riverside kama una hela. Utapata experience.
Hao Malaya ataishia kupata magonjwa tu na mikosi akae Kwa kukutulia atafutute mwanamke apo mtaani wapo kibao tu omba namba kama unaogopa kuongea nao anakwa anaMiaka 20 Nyeto ndio umri wake usiogope. Sema kama upo Dar mdogo mdogo anza kuflirt na wale wadada wa Riverside kama una hela. Utapata experience.
Dah nisaidie kiongozKwamba mpka miaka 20 bado hana experience dah mambo yanaenda slow duniani eehh
Msaada ni ww kuamua kuacha ujinga. Swala la wivu siwezi sema maana inategemea umekulia wapi na nani kakukuza cha msingi tambua mipaka na uwezo wako. Ila swala la nyeto ni maamuzi hakuna anaeweza saidia hapoDah nisaidie kiongoz
masaa 1.5 mpaka mawili shahawa tayari zishatengenezwa za kutoshaMaana hata shahawa hazijitengenezi ipasavyoo
msaidie kjanaSasa 3rd yr Diploma, hata kuomba no ya mdada huwezi? Vipi hapo class wadada huwaoni? Je wa group disscussn?
Hebu acha uwaki, kuwa gentleman weyee, khaaah
Sidhani kama hayo unayosema ni kweli....don't be harsh kwake....Anaonekana anaijua punyeto kwa undani sana hivyo huyu hashauriki labda ajishauri mwenyewe.
tafuta shughuli ya kufanya. kama ni mwanafunzi jikite zaidi ktk issue za shuleHabari ya uzima wakubwa kwa wadogo, natumaini uzima upo lakini wale ambao Wana shida ya Afya basi Mwenyezi Mungu awajalie uzima.
Niende kwenye shida yangu, mm ni kijana nina Miaka 20, shida yangu nimeathirika na masterbation (Punyeto), yaani naona hichi kitendo kama nimeshindwa kuacha kabisa Kila nikaijaribu kuacha nashindwa 🥲😪,naweza Kaa hata mwezi bila masterbation, ghafla najikuta nimerudi tena.
Naombeni mnisaidie maana naona Kila mbinu kwangu imegonga mwamba, maybe ambao waliwa pitia hii situation waliwezaje kushinda.
Pia nina shida ya kujifananisha maisha na watu wengine nakuwa na Wivu pale ninapo ona wenzagu wanafanikiwa, kiufupi siitaki hii hali lakini nashangaa kwanini nashindwa kuizuia.
Pia mimi ni muoga sana wa mademu nisaidieni mdogo wenu pia kama mtoto wenu nateseka sanaa na haya matatizo, Kuna muda nakosa kabisa hata ujasiri wa KUJIKUBALI nateketea na hii hali😢😢
Nisaidieni kwa ushauri.
muunganishe na mwanafunz wako wa tuishen kijana aache kumwagia mkonoPole, pole, pole sana
Tafuta madem wa level zako ikiwezekana wa chini ya level yako, utamudu gharama zao,,utawatomba na hutajali tena kutomba mkono mzee man,
Bado una miaka 20 kama hukufeli form 4 unatakiwa uendelee na elimu, ila kama ulifeli sasa, tafuta kitu cha kukuweka busy
Atapata tu experienxe, mitandao ya kijamii imerahisisha utongozaji.., aache tu uogaKwamba mpka miaka 20 bado hana experience dah mambo yanaenda slow duniani eehh
Mbona mi nashindwa kuacha kununua malaya, kuna wakati natamani ikifika weekend hata nijifumge minyororo kwenye mti na funguo ya kufuli nimpe mtu akae nayo kwa muda"Haihitaji nguvu kubwa kuacha au kufanya chochote zaidi ya kuamua Brother " ..
Unaweza kuanza au kuacha tabia YOYOTE ile ukiamua tu.
Fanya yafuatayo utakuja kumshukuru Mungu siyo Mimi
1. Usikubali kuamini kuwa wewe kuwa wewe ni muoga sana. Kila mtu ni muoga kaka, tunatofautiana kwenye uwezo wa kuamua na kutawala hisia tu.
2. Kubali kuwa wewe ndiye msimamizi wa maisha yako "master of your destiny"..wewe umeshikilia sterling unaweza kuipeleka gari unapotaka na siyo gari likupeleke linakotaka.
3. Usijione hufai au ni dhaifu sana, kumbuka Kila mtu ana udhaifu wake tena unawezekanana wewe ni shujaa uliyeamua kuonesha tatizo lilipo.
4. Kuigundua shida yako mwenyewe " self criticism" ni hatua inayochukuliwa na watu wachache sana wenye nia ya kupiga hatua. Wewe ni bonge la shujaa Brother.
It is always possible...
Kuamua tu kuandika uliyoyaandika Mimi naona umeshazishinda hizo tabia
HONGERA SANA KAKA