Naomba ushauri: Punyeto, Wivu na Uoga vinanitesa. Naona maisha yangu yapo hatarini

nakazia.....
 
Pole sana dogo, nyeto na uoga kwa mademu ni kama watoto mapacha.
Ukifanikiwa kuacha puri na mademu utaacha kuwaogopa.
Hilo la wivu I think some people are born that way.
 
Umemshauri vizuri sana.

Ombi/Ushauri;
Hebu zama PM ya huyu dogo umpe za ndani.
Nina imani mkiwa wawili atakufungukia zaidi.
#tuwasaidievijana#
 
Naombeni mnisaidie maana naona Kila mbinu kwangu imegonga mwamba, maybe ambao waliwa pitia hii situation waliwezaje kushinda.
To yeye mpe mbinu huyu au bado upo chamani?

Mwanachama huyu mwenye kadi namba 100 anawakilisha chama
Your browser is not able to display this video.
 
dah kwakweli mkuu,,kwenye ishu ya nyeto naona ni tatizo kubwa sana maana nagonga miaka 31 haimalizi wiki lazima nizame kwenye site za porn then baadae najichua kwakweli huu utumwa umeniathiri sana nashindwa kuukimbia
 
Ni kuomba Mungu na kufunga kwa maombi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…