Naombeni Mbinu za Kumtongoza Mdada hapa JF

Kumbe we ndo unamvujishiaga pepa Half american mpaka anafanikiwa, mi nikimuuliza umefanikiwaje ananambia yy hua anaandika point mpaka wachumba wanaandika "Nakazia" kwenye comment yake
πŸ˜‚ wakuandika point ntakuwa mimi?

Wakinipenda shauri yao mi nna wangu mmoja humu nampenda mpaka naumwa na anajijua.
 
mtu humjui hujawahi muona unajenga mawazo yako kichwani alafu unasema umemuelewa......

tukiambiwa tatizo la afya ya akili lipo tuwe tunaelewa jamani......

mletaada angekua na mambo serious ya kuwaza yenye maendeleo ndani yake asingeweza kuandika kitu kama hii ila ndio vijana ccm inawataka.....


nasikitika sana kwamba mtu mwenye akili kama hii naye anahesabika kama mwananchi ambae nchi inamtegemea kuleta maendeleo chanya
 
Una ugonjwa wa Akili ww,Mtu hujamwona,hujamskia eti umempenda.punguza nyege mkuu wengine mwandiko wa kike ila ni vidume nyuma ya keyboard
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…