Naombeni Mbinu za Kumtongoza Mdada hapa JF

Ss mtoa mada kalamika hamfungui pm, atajuaje kama anapendwa au laa?
Aombe afunguliwe ikishindikana atengeneze mazoea kuona kama panaingilika au lah
Kama pisi imefunga pm lakini akavutiwa na wewe lazima siku atakufungulia.
Au amfungulie uzi anaweza kubahatisha huyo pisi akafurahi wakayajenga
 
Ushapewa mbinu.....mie nakupa nyongeza tu ukishapata chance ya kufika pm ingia na miguu miwili salimia, jitambulishe sema nia yako.

Sio unaenda pm vipi my niambie, sa uambiwe nini?? Kakuambia anataka kukwambia kitu?? We mwenye nacho ndio useme.
Au salamu nyiiiiingi, mambo, unajibiwa poa, za huko.....huku wapi???!!!
 
Aombe afunguliwe ikishindikana atengeneze mazoea kuona kama panaingilika au lah
Kama pisi imefunga pm lakini akavutiwa na wewe lazima siku atakufungulia.
Au amfungulie uzi anaweza kubahatisha huyo pisi akafurahi wakayajenga
Sasa mbon umerudi kwenye point uliyoikataa.... kumfungulia uzi is the main solution inapunguza mda na unaenda direct to the point
 
Sina mbinua ya kukupa, ila tahadhari tuu kuwa utatongoza wanaume wengi sana kwa hili bandiko lako, humu jf ni chaka la kutisha. Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…