Naombeni ushauri juu ya mtoto asiyepelekwa shule kisa hakuna ada

Nimejituma ninapoweza ila sina huo uwezo wa kulipa hizo gharama ndio maana nimesuggest asome shule ya kawaida kwanza mambo yakikaa sawa atarudi alipokuwa kwani shida iko wapi?
 
Eimu ni bure.. Ukitaka kulipia ada ni wewe mwenyewe umetaka
 
Mtoto kwani anamiaka mingapi?
Kama kafika umri wa kwenda shule na bado huyo mzazi mwenza hataki aende, hilo ni kosa kisheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…