Mnadetije miaka 6 bila ku rule-out mambo sensitive kama haya?
Kuna mambo huwa inabidi yawekwe kwenye mstari mwanzo kabisa wa mahusiano...
Baadhi.Sijui, ndo naomba unijuze
Ushauri mzuri huu,fuata huu mtoa madaNdoa ili iwe na furaha itahitaji mambo makuu matatu
1. Upendo
2. Akili. Kuelewana. Hekima na busara.
3. Imani.
Hayo mambo matatu lazima mfananane. Ili muweze kuishi kwa furaha na kulea watoto wenu wawe kizazi Bora.
Kikipungua chochote hapo ni bora kuachana mapema.
Hakunaga ndoa ya serikali. Kama kila mmoja hataki kuamini imani ya mwenzake tafsiri yake hapo hakuna familia itakayoanzishwa.
Nilifanikiwa 100%; More than 15 yrs now ya ndoa, we good. The same combination as yours, but reversed in gender. Maneno yalikua mengi, but here we are.Ulifanikiwa? Bhc nitaulizia vizuri ..asante
Asante Sana...nitafanya maamuzi Kama ni kusuka au kunyoaBaadhi.
1. Watoto kukosa mwelekeo
2. Kukosekana kwa imani katika ndoa. Yaani mumeo anaweza kuhisi wewe unachepuka huko kanisani kwenu maana unaenda peke yako. Chukulia mfano, yeye awahi kurudi kabla yako.
3. Migogoro katika ndoa haitaisha. Masuala ya vyakula, mavazi, sadaka na michango kanisani itawagombanisha.
4. Kupungua heshima. Unasema umeolewa lakini mumeo/mkeo haendi kanisa hilo. Yaani inaonyesha ndoa yenu hamsikilizani.
5. Watoto kukosa amani. Mnawagawa watoto. Yaani ukiona mtoto anakosea unamwambia hayo huwa anafundishwa kanisani kwao (ambako wewe huendi).
6. Ugomvi hauishi katika ndoa. Ukisikia watu wanasema huyu mke hamsikilizi mtu isipokuwa mchungaji/padri ujue ni kwa sababu ya kutengana makanisa.
Yako mengi mno matatizo ya hawa.
Mungu ni mmoja hayo madhehebu yapo duniani tu acha kupoteza muda ndugu kama mnapendana kafunge ndoa kwake maisha yaendele miaka6 yote bado hamjafikia mamuzi tu.Habari zenu wapendwa.
Mimi ni binti wa miaka 24. Niko kwenye mahusiano na mchumba wangu ni miaka 6 Sasa tunaenda na ninampenda Sana mwanaume wangu.
Shida ya kuja hapa naombeni ushauri anataka kunioa ila changamoto inakuja upande wa dhehebu kwenye kubadili mimi napata ukakasi sana sijui kwanini, mimi ni mkatoliki pure na yeye ni msabato pure(kurya) mm sijawai dharau Imani yake ni vile tu nimelelewa kwenye misingi ya dini yangu. Anachotaka yeye ni ndoa ya kanisani na mm napata ugumu kubadili.
Nimejaribu kumshauri tufunge ya Serikali na watoto watakufata yeye lkn hatqki anataka ya kanisani. Mimi moyo wangu umekuwa mzito sijui kwanini na najiona sina amani kwenye huu uamuzi ambao nitafanya kumridhisha yeye sababu nampenda.
Nifanyeje🥺
🙌 Hatari...ni kweli usemacho🙏
Imani ni mapokeo. Yeye haendi kabisani kila siku lakini ana mapokeo ya kisabato. .Nimeshaongea nae kila kitu na kwa namna niwezavyo lkn hataki..afu kinachonishàgaza sio ata mtu wa kanisani enda yake ya Mara moja au mbili kwa mwaka..Ila tu nyumban kwao baba yake ni mchungaji wa kanisa nahisi ndo Mana inakuwa hivi
Hakuna changamoto, tumewalea katika misingi ya biblia. Wote wamekua wakatoliki, but siku nyingine tunaenda wote usabatoni kusali, siku zingine tunaenda RC. Mungu ni yule yule, Kristu ni yule yule, kinachotuunganisha zaidi ni biblia. I guess it comes down to the two of you.I wish iwe hivyo pia... Vipi kuhusu watoto? Haiwapi changamoto??
Asante SanaUsiwaze kuhusu kufunga Ndoa.
Waza utaishije ndani na Ndoa. Hiyo ndio hoja.
Upendo, imani na Akili. Kama mnatofautiana pakubwa hapo ni bora uachane nako huko. Utalia sana.
Kaa naye, muulize kwa nini hataki awe mkatoliki, aje na hoja. Kisha na wewe useme kwa nini hutaki kuwa Msabato uende na hoja.
Hakikisha hoja zenu zote zijikite kwenye kitabu mnachokiamini, iwe ni Biblia.
Kila hoja itakayotolewa msingi wake mkuu iwe ni Biblia.
Sio maoni ya mchungaji, padri, papa, Kuhani, askofu, au mzee wa kanisa au Mzazi. Bali chochote kitakachojadiliwa kitokee kwenye biblia na mifano.
Sio umlaumu mwenzako wakati bado hamjajadili jambo hili.
Ni kwel kabisaaImani ni mapokeo. Yeye haendi kabisani kila siku lakini ana mapokeo ya kisabato. .
Kifupi combination ya msabato na mkatoliki ni ngumu sana, endapo mmoja badili dhehebu. Itawasumbua
Ingekuwa madhehebu mengine ya kikristo huwa ni fasta kidogo.
Yaani mkatoliki kwenda madhehebu nje na msabato ni rahisi sana.
Ndoa ya mseto si unafunga na mtu wa dini nyingine (mkristo na muslim) ukifunga na madhehebu mingine ya kikristo ukiacha sabato haitwi ndoa ya mseto.Rc hamna ndoa ya mseto Kati ya mkatoliki na msabato... Ipo Kati ya Rc na KKT, Rc na Moravian, Rc na Anglican... Lkn yy hataki anataka nifate vile anavyotaka yy
Safi sana.Tafuta mkatoliki mwenzio binti. Unataka kwenda kwenye ndoa ambayo hata hutaki kujua watoto wako wanaendaje kanisani? Yaani ukazae watoto halafu huna time nao kuhusu issue za kanisa!
Halafu huna freedom ya masuala ya mapishi? Wewe utanunua chakula flani, mumeo atasema hicho chakula usipikie hapa. Utafanyaje?
Kifupi, kwenye ndoa inataka watu mna mtazamo unaofanana kiimani na kijamii.
Mshirikishe Mungu kwenye maamuzi yako. Take time.Asante Sana...nitafanya maamuzi Kama ni kusuka au kunyoa