Naombeni ushauri wenu juu ya huyu mtu🤔

USijichanganye kabisa. Muulize kwanini msianzishe mahusiano then swala la mtoto lije baadae? Mkomalie hapo then uanze kumchunguza ila msisitize mtoto haupo tayari uone msimamo wake
Ahsante nitamuuliza sema yeye anachosema anahitaji mtoto wa kiume eti nimzalishe as if ashaona mbegu zangu zitatoa wa kiume tu. Kuna mda alikua anakaa mara ananichunguza nywele zangu. Nina asili ya nywele nyingi, mara kile basi anasema mpaka mwaka huu uishe inatakiwa awe na mtoto toka kwangu.
The heck is this
 
Mmzalishe uone kila rangi. Hizo trick na nyege zinamchanganya
 
😀 ndio maana napenda kujua zaidi saikolojia ya watu, binadamu nikiumbe changamfu sana!.

mchunguze umjue nje ndani kupitia taarifa zake utaweza kujua/kukisia lengo lake ni nini.. chambua maneno yake na stori zake msogeze karibu akupe historia ya maisha yake then kupitia historia yake utapata maswali magumu yakumuuliza!,usisite kumuuliza we muulize halafu angalia anavyo react ukimuuliza hayo maswali.
ikiwa utafikia maamuzi yakulalanae pima nae afya na umpime mimba na kaa ukijua ukishampa mimba movie halisi ndio itaanza...😀😂
 
Nilitaman kupendwa ila upendo wa huyu dada unaniogopesha walah. Siwezi oa mwanamke aliyezaliwa kuanzia 99 kupanda juu😬😬
 
Nakuamini Vinci. Ila kwa ushauri wangu, kama huna mahusiano yenye mwelekeo wa kuwa yamda mrefu (akili imekataa kuandika 'ya kudumu') basi msome kwanza huyo mama kama anaeleweka unaweza kumvuta ndichi mkafanya maisha nae kama na wewe umemwelewa.
Ushamuita mmama hafu unasema nimvute ndichi hunitakii mema bro. Jumapili nataka nikae nae maanga tuzungumze zaidi nimsome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…