Samaki wabichi waliokaa mda mrefu wakachacha wakaoza,Vipi kaka tuweke wazi kama mari inatoa harufu mbovu tumpe tiba shemeji,maana Kitu ambacho mwanaume hawezi kukivumilia kwa hari yoyote ni hiyo kitu[emoji3]
Ukitaka kujua akili ya mtu hutumii nguvuMama ako analo, mwambie akupe lote
We hauna tako kwani? Mwanaume gani asiepwenda tako la Mwanamke? HakunaMama ako analo, mwambie akupe lote
Acha shobo na watu usiowajua, pumbavu weweUkitaka kujua akili ya mtu hutumii nguvu
By the way uwe na usiku mwema.
Mama ako pia ni mwanamke, kwani lake hulipendi? KaliguseWe hauna tako kwani? Mwanaume gani asiepwenda tako la Mwanamke? Hakuna
Enjoy..Acha shobo na watu usiowajua, pumbavu wewe
Sijasema sijawahi kuligusa, she raised me so ni kawaida, haya wewe je hawaligusi wanao? Au linaguswa na wajomba zao tu?Mama ako pia ni mwanamke, kwani lake hulipendi? Kaliguse
Analigusa baba yao pekee.... wanangu watagusaje tako langu wewe ni kichaa?Sijasema sijawahi kuligusa, she raised me so ni kawaida, haya wewe je hawaligusi wanao?
Na wajomba au maanko vipi hawaligusi? Jr ngoja usiguse tako hili tako ataligusa anko sawa Jr kanywe juice ile ya embe kwanza,Analigusa baba yao pekee.... wanangu watagusaje tako langu wewe ni kichaa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah itakua kweliiHuu muda ulioutumia kuandika upupu, si ungekua unampeti peti mkeo, mnatekenyana na kunyanduana mtafute kababy..... au alichohoji mzee ni kweli [emoji849]
Yaani Baba yako(Msiri wako) akuulize swali la msingi kabisa halafu ukasirike. Ama hakika haya ni matumizi mabaya ya hasiraWakuu, Shkaamooni. Mimi ni kijana mdogo ambae niko kwenye ndoa tayari. Ndoa yangu ina miezi kadhaa tu, haijafikisha hata mwaka mmoja.
Wiki kadhaa nyuma tulikuwa tukipishana sana na mke wangu sababu ya mimi kuwa busy sana mpaka mida ya usiku mimi nipo busy na kazi.
Hii ikapelekea mimi na mke wangu tugombane mpaka malalamiko kufikia kwa wazazi.
Malalamiko ya mke wangu kwa wazazi wangu ni juu ya ubusy wangu na kupelekea kukosa muda na mke wangu, na mimi nikajitetea kwamba nina project zinazonibana sana nikashindwa hata kuwaza mambo mengine tofauti na project inayonikabili.
Nilitoa sababu hio japokuwa ndani ya nafsi yangu kuna malalamiko mengine ambayo nimeamua kufa nayo kiume siku hiyo.
Jambo la kwanza ni kuhusu hali ya mwenza wangu kuwa na matatizo ya hedhi, hili tatizo alikuwa nalo muda mrefu sana na mpaka wazazi wake waliwahi mwambia kuwa anaweza pata shida kwenye kutafuta mtoto. (hili aliniweka wazi baada ya kubleed kwa miezi miwili mfululizo).
Jambo la pili ni ubora wa shughuli. Yaani sipati kile nilichokitarajia.. ila hii sio tatizo kubwa kwangu as long as tabia zake zinaniridhisha.
Sasa mpaka naandika uzi huu.. Mzee(Baba yangu) aliniuliza swali ambalo limenipa hasira na kuniweka na mawazo sana. Ameniuliza kama nina tatizo la mwili nimwambie nisimfiche ( yaani kama sina nguvu za kiume nisifiche ).
Hili swali limenikwaza sana na limenipa hasira mpaka napatwa na mawazo ya kishetani. Najisemea au nikamtie mtoto wa mtu mimba ndo akili iwakae sawa hawa mana naona kama dharau hivi.
Naombeni ushauri nifanyeje kwenye hii situation?
Je ingekuwa wewe ungefanyaje au kama uliwahi pitia je ulikabiliana nalo vipi?
Ushauri wa hovyoo huu.Hapo swala ni mti ngozi Mzee wangu,, kama mkeo anashida basi waonyeshe ndugu zako Kwa vitendo kwamba mke wako anashida za uzazi, kama anableed muda mrefu muonbe mlango wa pili ( Kwa utani lkn ukiwa kama unamaanisha kupitia Hilo yeye ataenda kulalamika Kwa ndugu zake au kwenu hrf hapohapo unawaambia kweli kuhusu changamoto za mkeo, Ila kama wewe ndio mwenye shida jipange uwapate mangaliba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nn sasa?Kama anableed muda mrefu possible akawa na hormonal imbalance, hospital mmeenda??? Mimba sio viuno tu.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watuVipi kaka tuweke wazi kama mari inatoa harufu mbovu tumpe tiba shemeji,maana Kitu ambacho mwanaume hawezi kukivumilia kwa hari yoyote ni hiyo kitu[emoji3]
Madhara ya Bakari Nondo hayaNalima, Napanda ila sioni dalili ya mazao. Hili ndio tatizo mpaka nakata tamaa
Acha kumpoteza mwenzako na imani za kuombewa.Hiyo damu mfululizo inatibika kiroho. Waone watumishi wa Mungu. Wawaombee kwa Jina La YESU litaisha.
Mungu alitupa zawadi kubwa sana, ila sisi hatujitambui tu, kwa Jina la YESU Kila kitu kinakaa sawa.
Hoospitali umeenda wewe na mkeo? Au umekuja mtandaoni kwanza mkuu?Moto nishapeleka sana. Tatizo ni kwamba sioni matunda.. wenzangu niliooa nao sambamba tayari mbegu zishachepua
Mtoa mada kuna jambo anaficha! Binti amwage mfululizo hlf tena akashtaki kwa wazazi! Mbona haiingii akiliniAmpe miti vipi unataka ailoweshe damu au? Amekwambia miezi miwili mfululizo damu zinamwagika
Pole aisee, jaribu kutafuta suluhisho la matatizo ya kiafya ya mkeo.Nilitoa sababu hio japokuwa ndani ya nafsi yangu kuna malalamiko mengine ambayo nimeamua kufa nayo kiume siku hiyo.
Watanyanduana vipi ilhali mwenza anaenda bleed takribani siku 60!Huu muda ulioutumia kuandika upupu, si ungekua unampeti peti mkeo, mnatekenyana na kunyanduana mtafute kababy..... au alichohoji mzee ni kweli [emoji849]