Imalamawazo
JF-Expert Member
- Jul 27, 2021
- 1,343
- 3,269
Unacheza na women wewe! Hapo anataka awe anamuona jamaa kama pambo ilhali mzigo hampi.Mtoa mada kuna jambo anaficha! Binti amwage mfululizo hlf tena akashtaki kwa wazazi! Mbona haiingii akilini
Hizo ni hormones tu hazipo sawa, akishughulikiwa wiki nyingi anakua sawaWatanyanduana vipi ilhali mwenza anaenda bleed takribani siku 60!
Mimi mpenzi wangu kwa wiki ya siku saba, tano kati ya hizo anaumwa. Mara jino linauma shavu limevimba, mara hedhi inauma, mara pressure, mara kichwa. Nikaona hapa nikiendelea nae nakuwa daktari bila kusomea nikala kona.Miezi miwili? Mimi aliniambia sijui ana mabonge sijui uvimbe kwenye mirija ya uzazi na hedhi yake ni siku 31/34 na akiingia hedhi yanatoka mabonge ya damu, miezi mitatu mingi nilipita hivi
Jamaa ana shida ila sababu ni mpuuzi anasingizia yuko busy na project.Mtoa mada kuna jambo anaficha! Binti amwage mfululizo hlf tena akashtaki kwa wazazi! Mbona haiingii akilini
Hiv huwa mnatiana sababu ya mimba tu?? Na kipnd hiki cha barid halaf aumpi stareh ya ndoa mwenzako unamtesa mno!! Kuwa na tatzo la uzazi inabd asaidike mwende hosptal ila haizuii kutiana nae sbabu hio nistarehe yenu ya ndoa au ulwaza kumtia sbabu ya mimba tu akpata mimba humtii tenaNalima, Napanda ila sioni dalili ya mazao. Hili ndio tatizo mpaka nakata tamaa
Mke ulipewa au ulimchukua?Wakuu, Shkaamooni. Mimi ni kijana mdogo ambae niko kwenye ndoa tayari. Ndoa yangu ina miezi kadhaa tu, haijafikisha hata mwaka mmoja.
Wiki kadhaa nyuma tulikuwa tukipishana sana na mke wangu sababu ya mimi kuwa busy sana mpaka mida ya usiku mimi nipo busy na kazi.
Hii ikapelekea mimi na mke wangu tugombane mpaka malalamiko kufikia kwa wazazi.
Malalamiko ya mke wangu kwa wazazi wangu ni juu ya ubusy wangu na kupelekea kukosa muda na mke wangu, na mimi nikajitetea kwamba nina project zinazonibana sana nikashindwa hata kuwaza mambo mengine tofauti na project inayonikabili.
Nilitoa sababu hio japokuwa ndani ya nafsi yangu kuna malalamiko mengine ambayo nimeamua kufa nayo kiume siku hiyo.
Jambo la kwanza ni kuhusu hali ya mwenza wangu kuwa na matatizo ya hedhi, hili tatizo alikuwa nalo muda mrefu sana na mpaka wazazi wake waliwahi mwambia kuwa anaweza pata shida kwenye kutafuta mtoto. (hili aliniweka wazi baada ya kubleed kwa miezi miwili mfululizo).
Jambo la pili ni ubora wa shughuli. Yaani sipati kile nilichokitarajia.. ila hii sio tatizo kubwa kwangu as long as tabia zake zinaniridhisha.
Sasa mpaka naandika uzi huu.. Mzee(Baba yangu) aliniuliza swali ambalo limenipa hasira na kuniweka na mawazo sana. Ameniuliza kama nina tatizo la mwili nimwambie nisimfiche ( yaani kama sina nguvu za kiume nisifiche ).
Hili swali limenikwaza sana na limenipa hasira mpaka napatwa na mawazo ya kishetani. Najisemea au nikamtie mtoto wa mtu mimba ndo akili iwakae sawa hawa mana naona kama dharau hivi.
Naombeni ushauri nifanyeje kwenye hii situation?
Je ingekuwa wewe ungefanyaje au kama uliwahi pitia je ulikabiliana nalo vipi?
Mnmmh, hii ni taaluma mpya? Homoni kutibiwa kwa kushughulikiwaHizo ni hormones tu hazipo sawa, akishughulikiwa wiki nyingi anakua sawa
Ampe nini🤣🤣Sasa kijana mdogo kwenye ndoa umefata nini?
Acha uvivu kusingizia kazi! Mpe mtoto wa watu mitiii
Ushauri wangu nipe Kwanza namba ya Simu ya Mkeo niwasiliane nae huku Wewe ukiendelea Kuwasiliana na Baba na Mawasiliano yangu na Mkeo yakifana na kwa Tiba Kuu ambayo nitampa naamini atatulia na mtaanza Kuishi vyema kabisa.Wakuu, Shkaamooni. Mimi ni kijana mdogo ambae niko kwenye ndoa tayari. Ndoa yangu ina miezi kadhaa tu, haijafikisha hata mwaka mmoja.
Wiki kadhaa nyuma tulikuwa tukipishana sana na mke wangu sababu ya mimi kuwa busy sana mpaka mida ya usiku mimi nipo busy na kazi.
Hii ikapelekea mimi na mke wangu tugombane mpaka malalamiko kufikia kwa wazazi.
Malalamiko ya mke wangu kwa wazazi wangu ni juu ya ubusy wangu na kupelekea kukosa muda na mke wangu, na mimi nikajitetea kwamba nina project zinazonibana sana nikashindwa hata kuwaza mambo mengine tofauti na project inayonikabili.
Nilitoa sababu hio japokuwa ndani ya nafsi yangu kuna malalamiko mengine ambayo nimeamua kufa nayo kiume siku hiyo.
Jambo la kwanza ni kuhusu hali ya mwenza wangu kuwa na matatizo ya hedhi, hili tatizo alikuwa nalo muda mrefu sana na mpaka wazazi wake waliwahi mwambia kuwa anaweza pata shida kwenye kutafuta mtoto. (hili aliniweka wazi baada ya kubleed kwa miezi miwili mfululizo).
Jambo la pili ni ubora wa shughuli. Yaani sipati kile nilichokitarajia.. ila hii sio tatizo kubwa kwangu as long as tabia zake zinaniridhisha.
Sasa mpaka naandika uzi huu.. Mzee(Baba yangu) aliniuliza swali ambalo limenipa hasira na kuniweka na mawazo sana. Ameniuliza kama nina tatizo la mwili nimwambie nisimfiche ( yaani kama sina nguvu za kiume nisifiche ).
Hili swali limenikwaza sana na limenipa hasira mpaka napatwa na mawazo ya kishetani. Najisemea au nikamtie mtoto wa mtu mimba ndo akili iwakae sawa hawa mana naona kama dharau hivi.
Naombeni ushauri nifanyeje kwenye hii situation?
Je ingekuwa wewe ungefanyaje au kama uliwahi pitia je ulikabiliana nalo vipi?
Mkuu! Umeelewa😂Ampe nini🤣🤣
Sijaelewa mkuu, nieleweshe!Mkuu! Umeelewa😂
Una umri wa miaka mingapi?Wakuu, Shkaamooni. Mimi ni kijana mdogo ambae niko kwenye ndoa tayari. Ndoa yangu ina miezi kadhaa tu, haijafikisha hata mwaka mmoja.
Wiki kadhaa nyuma tulikuwa tukipishana sana na mke wangu sababu ya mimi kuwa busy sana mpaka mida ya usiku mimi nipo busy na kazi.
Hii ikapelekea mimi na mke wangu tugombane mpaka malalamiko kufikia kwa wazazi.
Malalamiko ya mke wangu kwa wazazi wangu ni juu ya ubusy wangu na kupelekea kukosa muda na mke wangu, na mimi nikajitetea kwamba nina project zinazonibana sana nikashindwa hata kuwaza mambo mengine tofauti na project inayonikabili.
Nilitoa sababu hio japokuwa ndani ya nafsi yangu kuna malalamiko mengine ambayo nimeamua kufa nayo kiume siku hiyo.
Jambo la kwanza ni kuhusu hali ya mwenza wangu kuwa na matatizo ya hedhi, hili tatizo alikuwa nalo muda mrefu sana na mpaka wazazi wake waliwahi mwambia kuwa anaweza pata shida kwenye kutafuta mtoto. (hili aliniweka wazi baada ya kubleed kwa miezi miwili mfululizo).
Jambo la pili ni ubora wa shughuli. Yaani sipati kile nilichokitarajia.. ila hii sio tatizo kubwa kwangu as long as tabia zake zinaniridhisha.
Sasa mpaka naandika uzi huu.. Mzee(Baba yangu) aliniuliza swali ambalo limenipa hasira na kuniweka na mawazo sana. Ameniuliza kama nina tatizo la mwili nimwambie nisimfiche ( yaani kama sina nguvu za kiume nisifiche ).
Hili swali limenikwaza sana na limenipa hasira mpaka napatwa na mawazo ya kishetani. Najisemea au nikamtie mtoto wa mtu mimba ndo akili iwakae sawa hawa mana naona kama dharau hivi.
Naombeni ushauri nifanyeje kwenye hii situation?
Je ingekuwa wewe ungefanyaje au kama uliwahi pitia je ulikabiliana nalo vipi?
Unawaza ujinga ndio maana, akishughulikiwa kwa maana ya kupelekwa kwa wataalam wa afya, atapata tiba.Mnmmh, hii ni taaluma mpya? Homoni kutibiwa kwa kushughulikiwa