Naombeni ushauri wenye busara juu ya hili

Naombeni ushauri wenye busara juu ya hili

Umeoa huna mwaka mshagombana hamuelewani ulichokitarajia sicho unachopata kwani hukupitia kipindi cha upenzi ndio ndoa ikaja? Mkiambiwa mkatae ndoa ni utapeli mnaona watu wajinga😂😂😂 pambana huyo ni wako azae asizae awe na show mbovu hilo ni juu yako hukukagua mzigo dukani umeufikisha nyumbani unaanza kugundua kasoro.

NB: garantii ni mgongo
 
Wakuu, Shkaamooni. Mimi ni kijana mdogo ambae niko kwenye ndoa tayari. Ndoa yangu ina miezi kadhaa tu, haijafikisha hata mwaka mmoja...
Mtoto wa watu anataka mjegeje wewe unajifanya busy shauri yako,mzee wako yupo sawa usimfiche inawezekana vipi ndoa hata mwaka bado umchoke mkeo uwe busy hivyo hadi apeleke mashtaka kwa wazazi!

Tenga muda kila kitu kina nafasi yake kazi na mke ukiegemea sana upande mmoja lazima kumoja kuanguke, unapokua kazini piga kazi kweli unapokua na mke peleka moto kweli namaanisha peleka moto kweli hiyo ndoa changa usioneshe udhaifu wa kula mzigo
 
Wakuu, Shkaamooni. Mimi ni kijana mdogo ambae niko kwenye ndoa tayari. Ndoa yangu ina miezi kadhaa tu, haijafikisha hata mwaka mmoja...
Tafuta vijana watano wachimbe shimo refu lenye urefu wa mtu mzima(eneo liwe porini)

Mdanganye mkeo kuwa unatamani ukakate kuni na yeye porini

Mkifika porini mpeleke pale kwenye shimbo(huku ukishangaa Nani kachimba shimbo porini)

Akizubaa msukume fasta kuelekea shimoni

Usisahau kufukia vizuri shimo

I swear hutamaliza Kila kitu na utaishi kwa amini

Ubaya ubaya tu

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Mtoto wa watu anataka mjegeje wewe unajifanya busy shauri yako,mzee wako yupo sawa usimfiche inawezekana vipi ndoa hata mwaka bado umchoke mkeo uwe busy hivyo hadi apeleke mashtaka kwa wazazi! tenga muda kila kitu kina nafasi yake kazi na mke ukiegemea sana upande mmoja lazima kumoja kuanguke,unapokua kazini piga kazi kweli unapokua na mke peleka moto kweli namaanisha peleka moto kweli hiyo ndoa changa usioneshe udhaifu wa kula mzigo
Moto nishapeleka sana. Tatizo ni kwamba sioni matunda.. wenzangu niliooa nao sambamba tayari mbegu zishachepua
 
Hapo swala ni mti ngozi Mzee wangu,, kama mkeo anashida basi waonyeshe ndugu zako Kwa vitendo kwamba mke wako anashida za uzazi, kama anableed muda mrefu muonbe mlango wa pili ( Kwa utani lkn ukiwa kama unamaanisha kupitia Hilo yeye ataenda kulalamika Kwa ndugu zake au kwenu hrf hapohapo unawaambia kweli kuhusu changamoto za mkeo, Ila kama wewe ndio mwenye shida jipange uwapate mangaliba
 
Tafuta vijana watano wachimbe shimo refu lenye urefu wa mtu mzima(eneo liwe porini)

Mdanganye mkeo kuwa unatamani ukakate kuni na yeye porini

Mkifika porini mpeleke pale kwenye shimbo(huku ukishangaa Nani kachimba shimbo porini)

Akizubaa msukume fasta kuelekea shimoni

Usisahau kufukia vizuri shimo

I swear hutamaliza Kila kitu na utaishi kwa amini

Ubaya ubaya tu

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
tratratatssaaaaatszaaaa aaaisxzzee !!!
 
Kwanza pole kwa yanayo kusibu, ingawa kwa maelezo yako sioni kama ninyi mna tatizo kubwa zaidi hamkai chini na kusuluhisha matatizo yenu, hali ambayo huwapata vijana wengi hasa wanao anza kuingia kwenye ndoa changa.

Lakini pia nakuona kama tayari umesha poteza hamu ya kumpiga pipe mkeo kwasababu ya hiyo shida yake ya hedhi mfululizo, na hilo tatizo limetokana ninyi kutokuzungumzia matatizo yetu na hata mkeo ameshindwa kupata tiba kutokana na migogoro yenu.
Jambo lingine ninalo liona kwenu nyote ni kwamba, mkeo hana utii kwako na wewe ni jeuri zaidi kwake,
 
Wakuu, Shkaamooni. Mimi ni kijana mdogo ambae niko kwenye ndoa tayari. Ndoa yangu ina miezi kadhaa tu, haijafikisha hata mwaka mmoja.

Wiki kadhaa nyuma tulikuwa tukipishana sana na mke wangu sababu ya mimi kuwa busy sana mpaka mida ya usiku mimi nipo busy na kazi.

Hii ikapelekea mimi na mke wangu tugombane mpaka malalamiko kufikia kwa wazazi.

Malalamiko ya mke wangu kwa wazazi wangu ni juu ya ubusy wangu na kupelekea kukosa muda na mke wangu, na mimi nikajitetea kwamba nina project zinazonibana sana nikashindwa hata kuwaza mambo mengine tofauti na project inayonikabili.

Nilitoa sababu hio japokuwa ndani ya nafsi yangu kuna malalamiko mengine ambayo nimeamua kufa nayo kiume siku hiyo.

Jambo la kwanza ni kuhusu hali ya mwenza wangu kuwa na matatizo ya hedhi, hili tatizo alikuwa nalo muda mrefu sana na mpaka wazazi wake waliwahi mwambia kuwa anaweza pata shida kwenye kutafuta mtoto. (hili aliniweka wazi baada ya kubleed kwa miezi miwili mfululizo).

Jambo la pili ni ubora wa shughuli. Yaani sipati kile nilichokitarajia.. ila hii sio tatizo kubwa kwangu as long as tabia zake zinaniridhisha.

Sasa mpaka naandika uzi huu.. Mzee(Baba yangu) aliniuliza swali ambalo limenipa hasira na kuniweka na mawazo sana. Ameniuliza kama nina tatizo la mwili nimwambie nisimfiche ( yaani kama sina nguvu za kiume nisifiche ).

Hili swali limenikwaza sana na limenipa hasira mpaka napatwa na mawazo ya kishetani. Najisemea au nikamtie mtoto wa mtu mimba ndo akili iwakae sawa hawa mana naona kama dharau hivi.

Naombeni ushauri nifanyeje kwenye hii situation?
Je ingekuwa wewe ungefanyaje au kama uliwahi pitia je ulikabiliana nalo vipi?
mpe yeye au wewe chukua likizo kidogo kapumzike kidogo msionane kwa ka muda kidogo huku ukijiimarisha kwa misosi muhimu na kujenga afya kwa mazoezi, mtapata tu mnachotaka.....

Michepuko sio deal
 
Moto nishapeleka sana. Tatizo ni kwamba sioni matunda.. wenzangu niliooa nao sambamba tayari mbegu zishachepua
Mdogo wangu kila jambo linakuja kwa wakati wake. Hao wenzako ni wakati wao ulifika subiri na wewe wa kwako. Lakini pia wekeza muda wako kiasi na familia yako achana na ubusy usio na maana. Kupitia hilo mnaweza solve matatizo na migogoro midogo midogo kama hii.

Hakuna mwanamke anapenda kuwa ignored hasa katika situation mlonayo sasahivi. Fikiria kwa makini
 
Dogo bado una akili za kitoto sana, hebu leo mgegede usiku kucha halafu uone kesho ataweza kunyanyua simu kuwalalamikia wazazi wako, na ndio maana mpaka mzee wako ameanza kuwa na wasi wasi na urijali wako.
Raha ya kuwa mwanaume ni kuwa na uwezo wa kugegeda hawa viumbe.
Kwanza ni aibu sana mpaka binti kapata ujasiri wa kulalamika kwa mzee wako, kuna kitu unaficha kama hauna uwezo mwambie tu mzee wako ana mengi anayoyajua.
Na kwanini kuulizwa hilo swali na mzee wako umekasirika sana. Kuna kitu unaficha.
Wakuu, Shkaamooni. Mimi ni kijana mdogo ambae niko kwenye ndoa tayari. Ndoa yangu ina miezi kadhaa tu, haijafikisha hata mwaka mmoja.

Wiki kadhaa nyuma tulikuwa tukipishana sana na mke wangu sababu ya mimi kuwa busy sana mpaka mida ya usiku mimi nipo busy na kazi.

Hii ikapelekea mimi na mke wangu tugombane mpaka malalamiko kufikia kwa wazazi.

Malalamiko ya mke wangu kwa wazazi wangu ni juu ya ubusy wangu na kupelekea kukosa muda na mke wangu, na mimi nikajitetea kwamba nina project zinazonibana sana nikashindwa hata kuwaza mambo mengine tofauti na project inayonikabili.

Nilitoa sababu hio japokuwa ndani ya nafsi yangu kuna malalamiko mengine ambayo nimeamua kufa nayo kiume siku hiyo.

Jambo la kwanza ni kuhusu hali ya mwenza wangu kuwa na matatizo ya hedhi, hili tatizo alikuwa nalo muda mrefu sana na mpaka wazazi wake waliwahi mwambia kuwa anaweza pata shida kwenye kutafuta mtoto. (hili aliniweka wazi baada ya kubleed kwa miezi miwili mfululizo).

Jambo la pili ni ubora wa shughuli. Yaani sipati kile nilichokitarajia.. ila hii sio tatizo kubwa kwangu as long as tabia zake zinaniridhisha.

Sasa mpaka naandika uzi huu.. Mzee(Baba yangu) aliniuliza swali ambalo limenipa hasira na kuniweka na mawazo sana. Ameniuliza kama nina tatizo la mwili nimwambie nisimfiche ( yaani kama sina nguvu za kiume nisifiche ).

Hili swali limenikwaza sana na limenipa hasira mpaka napatwa na mawazo ya kishetani. Najisemea au nikamtie mtoto wa mtu mimba ndo akili iwakae sawa hawa mana naona kama dharau hivi.

Naombeni ushauri nifanyeje kwenye hii situation?
Je ingekuwa wewe ungefanyaje au kama uliwahi pitia je ulikabiliana nalo vipi?
 
Ni kweli swala la utafutaji kwa sisi Wanaume ni vyema kulipa kipaumbele lakini Familia pia ina umuhimu wake.

Hata kama Upo busy kiasi gani jaribu utenge muda wa kuwa na familia. Ukizingatia ndoa yenu bado ni changa kama ulivyosema.

Huyo mkeo mtakuwa mnapishana kauli mara kwa mara kwa kuwa humtimizii mahitaji yake ya kimwili.

Hata kama utakuwa umechoka kiasi gani hakikisha Unamt****ba mkeo. Tena iwe usiku wakati wa kulala na asubuhi Morning glory.

Kama unamnyima mkeo apewe na nani unataka?
 
Back
Top Bottom