African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 817
- 1,470
🤗
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejitahidi sana mpaka nahisi kukata tamaa. Na nahisi mke wangu ana tatizoHuu muda ulioutumia kuandika upupu, si ungekua unampeti peti mkeo, mnatekenyana na kunyanduana mtafute kababy..... au alichohoji mzee ni kweli [emoji849]
Mtoto wa watu anataka mjegeje wewe unajifanya busy shauri yako,mzee wako yupo sawa usimfiche inawezekana vipi ndoa hata mwaka bado umchoke mkeo uwe busy hivyo hadi apeleke mashtaka kwa wazazi!Wakuu, Shkaamooni. Mimi ni kijana mdogo ambae niko kwenye ndoa tayari. Ndoa yangu ina miezi kadhaa tu, haijafikisha hata mwaka mmoja...
Tafuta vijana watano wachimbe shimo refu lenye urefu wa mtu mzima(eneo liwe porini)Wakuu, Shkaamooni. Mimi ni kijana mdogo ambae niko kwenye ndoa tayari. Ndoa yangu ina miezi kadhaa tu, haijafikisha hata mwaka mmoja...
Moto nishapeleka sana. Tatizo ni kwamba sioni matunda.. wenzangu niliooa nao sambamba tayari mbegu zishachepuaMtoto wa watu anataka mjegeje wewe unajifanya busy shauri yako,mzee wako yupo sawa usimfiche inawezekana vipi ndoa hata mwaka bado umchoke mkeo uwe busy hivyo hadi apeleke mashtaka kwa wazazi! tenga muda kila kitu kina nafasi yake kazi na mke ukiegemea sana upande mmoja lazima kumoja kuanguke,unapokua kazini piga kazi kweli unapokua na mke peleka moto kweli namaanisha peleka moto kweli hiyo ndoa changa usioneshe udhaifu wa kula mzigo
Nalima, Napanda ila sioni dalili ya mazao. Hili ndio tatizo mpaka nakata tamaaMpelekee moto mke wako
yes..tatizo ni hilo la bleed isioeleweka..hadi mtibu apone..ninkweli kupata watoto ni ishuNimejitahidi sana mpaka nahisi kukata tamaa. Na nahisi mke wangu ana tatizo
tratratatssaaaaatszaaaa aaaisxzzee !!!Tafuta vijana watano wachimbe shimo refu lenye urefu wa mtu mzima(eneo liwe porini)
Mdanganye mkeo kuwa unatamani ukakate kuni na yeye porini
Mkifika porini mpeleke pale kwenye shimbo(huku ukishangaa Nani kachimba shimbo porini)
Akizubaa msukume fasta kuelekea shimoni
Usisahau kufukia vizuri shimo
I swear hutamaliza Kila kitu na utaishi kwa amini
Ubaya ubaya tu
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
mpe yeye au wewe chukua likizo kidogo kapumzike kidogo msionane kwa ka muda kidogo huku ukijiimarisha kwa misosi muhimu na kujenga afya kwa mazoezi, mtapata tu mnachotaka.....Wakuu, Shkaamooni. Mimi ni kijana mdogo ambae niko kwenye ndoa tayari. Ndoa yangu ina miezi kadhaa tu, haijafikisha hata mwaka mmoja.
Wiki kadhaa nyuma tulikuwa tukipishana sana na mke wangu sababu ya mimi kuwa busy sana mpaka mida ya usiku mimi nipo busy na kazi.
Hii ikapelekea mimi na mke wangu tugombane mpaka malalamiko kufikia kwa wazazi.
Malalamiko ya mke wangu kwa wazazi wangu ni juu ya ubusy wangu na kupelekea kukosa muda na mke wangu, na mimi nikajitetea kwamba nina project zinazonibana sana nikashindwa hata kuwaza mambo mengine tofauti na project inayonikabili.
Nilitoa sababu hio japokuwa ndani ya nafsi yangu kuna malalamiko mengine ambayo nimeamua kufa nayo kiume siku hiyo.
Jambo la kwanza ni kuhusu hali ya mwenza wangu kuwa na matatizo ya hedhi, hili tatizo alikuwa nalo muda mrefu sana na mpaka wazazi wake waliwahi mwambia kuwa anaweza pata shida kwenye kutafuta mtoto. (hili aliniweka wazi baada ya kubleed kwa miezi miwili mfululizo).
Jambo la pili ni ubora wa shughuli. Yaani sipati kile nilichokitarajia.. ila hii sio tatizo kubwa kwangu as long as tabia zake zinaniridhisha.
Sasa mpaka naandika uzi huu.. Mzee(Baba yangu) aliniuliza swali ambalo limenipa hasira na kuniweka na mawazo sana. Ameniuliza kama nina tatizo la mwili nimwambie nisimfiche ( yaani kama sina nguvu za kiume nisifiche ).
Hili swali limenikwaza sana na limenipa hasira mpaka napatwa na mawazo ya kishetani. Najisemea au nikamtie mtoto wa mtu mimba ndo akili iwakae sawa hawa mana naona kama dharau hivi.
Naombeni ushauri nifanyeje kwenye hii situation?
Je ingekuwa wewe ungefanyaje au kama uliwahi pitia je ulikabiliana nalo vipi?
Mdogo wangu kila jambo linakuja kwa wakati wake. Hao wenzako ni wakati wao ulifika subiri na wewe wa kwako. Lakini pia wekeza muda wako kiasi na familia yako achana na ubusy usio na maana. Kupitia hilo mnaweza solve matatizo na migogoro midogo midogo kama hii.Moto nishapeleka sana. Tatizo ni kwamba sioni matunda.. wenzangu niliooa nao sambamba tayari mbegu zishachepua
Wakuu, Shkaamooni. Mimi ni kijana mdogo ambae niko kwenye ndoa tayari. Ndoa yangu ina miezi kadhaa tu, haijafikisha hata mwaka mmoja.