Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Tunapoikemea serikali isiingilie uhuru wa watu wetu kuabudu katika imani zao, na nyinyi watumishi wa Mungu mtusaidie kutokuzitumia madhabahu zenu kufanya siasa. Makanisa na Misikiti sio majukwaa ya kisiasa, mkitaka kuyageuza kuwa majukwaa ya kisiasa mtavunja umoja na utengamano wetu kama Taifa.Ruka juu lala chini umekataliwa
🤣🤣🤣🤣 Hii vita nzitoRuka juu lala chini umekataliwa
siasa haikwepeki katika mahala popote walipo watu. siasa ni watu, na kila penye watu kuna siasa. Waumini kanisani ni wapiga kura...mimi sishabikii aina yoyote ya siasa kanisani, kuipongeza au kuikosoa serikali kanisani si mahala sahihi kwa sabbu ya mchanganyiko wa waumini wenye itkadi tofaouti za kisiasa,
Ubaya ubwelaSema wana kosea tuongee ukweli tu
Tunapoikemea serikali isiingilie uhuru wa watu wetu kuabudu katika imani zao, na nyinyi watumishi wa Mungu mtusaidie kutokuzitumia madhabahu zenu kufanya siasa. Makanisa na Misikiti sio majukwaa ya kisiasa, mkitaka kuyageuza kuwa majukwaa ya kisiasa mtavunja umoja na utengamano wetu kama Taifa.
HUYU ATAKUWA NJE YA NCHI
Mbona ulishavunjika kitambo kirefumtavunja umoja na utengamano wetu kama Taifa.
Kiti cha urais ni mali ya watanzania kama anataka kuachwa aondoke kitini ...ikulu ni mahali patakatifu siyo pango la wahuni wala makahaba "nukuu ya Nyerere"Kafanyaje? Muacheni mama wa watu.
Siyo kila platform ni sehemu ya kuhuiri siasa. Sehemu za kazi na imani (makanisani na miskitini) haiwezekani kiongozi ku dictate kwa anaowaongoza kuwa chama gani kiko sahihi, kwa sababu individuals wana Ideologies tofauti.siasa haikwepeki katika mahala popote walipo watu. siasa ni watu, na kila penye watu kuna siasa. Waumini kanisani ni wapiga kura.
Duh 🤐
amekataliwa atawekwa kwa nguvu ndicho anachomanisha Mwanamapinduzi AskofuIwapo Watanzania katika umoja wetu, October tukamchagua Samia kwa mitano tena, mtu kama huyu ataweka wapi sura yake?
Kila mtu Mungu anaweza ma ufunuo au tafsiri tofauti ya kitu sahihi kikifuata, haiko exclusive kwa mtumishi wamtu mtumishi wa Mungu akipata mafumuo kuwa mtu flani amekataliwa na Mungu. unataka asiseme?
Majizi hayaRuka juu lala chini umekataliwa
Mijizi hii,imebanwa na Mama Samia,mijizi na mafisadi wa Mali za umma,mama kawabana sana wasiibe mali za umaHawa wehu Mungu wanamchukulia kama msela tu, tena mwanachama wa CHADEMA! Wtf!
Kanisa Linafungwa walahRuka juu lala chini umekataliwa
Mijizi hii ya mali za umma,hawalipi kodi serekali,mama Samia kawabana,Mijizi mikubwa na mafisadiBishops wana acess ya kumwana rais na kumshauri chochote, huyu ni Askofu wa MCHONGO, anaweza akawa huru kuwasilisha maono yake lakini KANISANI wakati wa ibada si mahala pakufnay hivyo, hayo ni matumizi mabaya ya IBADA