Naona Syria inaenda kuwa uwanja wa vita kati ya Iran na Israel; sijui Assad amekubalije nchi yake kila mtu kujikatia kipande chake

Naona Syria inaenda kuwa uwanja wa vita kati ya Iran na Israel; sijui Assad amekubalije nchi yake kila mtu kujikatia kipande chake

P

Je Kama ubalozi utakuwa sehemu ya kupangia mipango ya kumshambulia taifa jingine ukilipuliwa ni kosa
Kwa mfano Tiss iwe na taarifa za uhakika kwamba ubolozi wa Marekani inatumika kufanya mipango ya kijeshi kumshambulia Tanzania
Sisi tukawawahi kuwalipua ni kosa ?
Huwezi kuleta utetezi wa kijinga namna hiyo. Huwezi ukamuua jirani yako alafu ukaenda maakamani na kuleta utetezi wa kifara namana hiyo.
 
Huwezi kuleta utetezi wa kijinga namna hiyo. Huwezi ukamuua jirani yako alafu ukaenda maakamani na kuleta utetezi wa kifara namana hiyo.
Ubolozi una taratibu zake sio kufanya Kila unalojisikia ukivuka taratibu lazima ujiingize kwenye matatizo

Mageneral ni wanadiplomasia ?
Ubolozi sio sehemu ya kupangia mipango ya kigaidi
 
Hivi kwa nini humu watu wengi wanahofia kuhusu Jamhuri ya kiislam ya Iran ambayo imewekwa na Wairan wenyewe kupitia mapinduzi kwamba ipo mashakani kuangushwa ?
Wengi wao ni WAKRISTO,yaani wao kazi Yao siku zote ni kuwapa hofu waislamu na kuwakatisha tamaa

Na ndio kazi ya shetani,kuwajaza binadamu hofu ili akuondoshe kwenye mstari
 
Hiyo ni lugha ya diplomasia ya nchi zozote asionekane anaonea nchi zingine, kama huamini, subiri hii vita US ndio anaenda mpiga Iran na Iran anapotezwa moja kwa moja, mark my words..!!
Ila Madhara ya vita ni pande zote mkuu
 
Watu msio na akili mnaongea as if Iran ana uwezo huo, huo msafara wa Iran utateketezwa kabla ya kufika Syria na US yuko front line soon utaona moto unawaka Tehran and Ayatollah atakamatwa mchana kweupe na kuuawa mkiona, sasa US and Israel ndio wakati walisubiri sana kuiteketeza Iran na middle East itatulia, ni plan ya miaka karibu 40 ya kuiteketeza Iran na hii plan ilipangwa kwa kuipunguza nguvu za Russia kijeshi kwa vita vya Ukraine, sasa Iran atapigwa peke yake kwani Russia hatamsaidia ana vita yake kali na Ukraine.,

Sasa plan imekamilika kumpiga Iran kwani hakuna wa kumsaidia, watu wengi hawajui US ni Israel and vice versa, kwani wayahudi ndio wanaongoza US na dunia hii kwa sasa, Iran inaenda kuangamia moja kwa moja na hicho ndio kipo Washington kuichakaza Iran na itakuwa kama Libya, Iraq, Afghanistan or Syria
Duhhh 😀😀

Wewe ndio upo jikoni huko Israel na marekani mnasuka mipango😀😀
 
Ila Madhara ya vita ni pande zote mkuu
Hapana hujui kitu wewe au hujui war history hata moja…

Libya, Iraq, Aghanistan, Syria zote hizo zimeharibiwa umeona madhara US hata kidogo? Nikupe hint sbb it seems hujui mambo in details, Israel ndio The heart of U.S.A… na hakuna sehemu Israel itaguswa US akae kimya, all Israel sasa hivi meli za kivita za US imeizunguka, ili Israel ichakaze Gaza bila mtu yeyote kuingilia, sasa huyo Iran hawezi hata nukta kuisogelea Israel, na atabakizwa magofu kama nchi hizo nilizotaja
 
Wengi wao ni WAKRISTO,yaani wao kazi Yao siku zote ni kuwapa hofu waislamu na kuwakatisha tamaa

Na ndio kazi ya shetani,kuwajaza binadamu hofu ili akuondoshe kwenye mstari
Huelewi unachokiongea ww !! Udini ndio umekukaa kichwani

hamna mtu anaewaza uislam wala dini hii ni alaysis ya maswala ya kivita
Iran si nchi liberal ni nchi inayojiita ya kiislam kwa maana imenyang’anya uhuru wa dini zingine na kuwataka wote wafuate taratibu za kiislam
 
Sio Ishu ya dini mkuu
Tunaongelea uhalisia wa Hali ilivyo
Anapoongelewa Iran utaona MKRIST na backup ya Israel na USA 😀

Watakuambia Iran inakwenda kufutika
Watakuambia Iran inakwenda kupigwa ndani ya mwezi mmoja tu 😀😀
Watakuambia Iran itateketezwa haitochukua muda 😀😀

Yaani
Huelewi unachokiongea ww !! Udini ndio umekukaa kichwani

hamna mtu anaewaza uislam wala dini hii ni alaysis ya maswala ya kivip
Iran si nchi liberal ni nchi inayojiita ya kiislam kwa maana imenyang’anya uhuru wa dini zingine na kuwataka wote wafuate taratibu za kiislam
Kwahiyo huko Iran hakuna WAKRISTO na hakuna makanisa??

Uislamu ni dini yenye taratibu zake kama UKRISTO na taratibu zake

Uislamu unasema "hakuna kubembelezana kwenye dini",yaani unamfikishia mtu ujumbe then akiukubali it's okay na akiukataa ni shauri yake mwenyewe

Nyie WAKRISTO wa wapi sijui
 
Hivi kwa nini humu watu wengi wanahofia kuhusu Jamhuri ya kiislam ya Iran ambayo imewekwa na Wairan wenyewe kupitia mapinduzi kwamba ipo mashakani kuangushwa ?
Mkuu nchi pekee ambayo ni tishio kwa USA na genge lake pale mashariki ya kati ni IRAN
Wengine wote akina Iraq walikwisha sambaratishwa

Iran anawindwa na kuchozwa ili aingie moja kwa moja vitani
Vita ni GHARAMA kubwa mmno

Iran akitumbukia kwenye vita atapambana na USA na genge lake dhidi ya Iran pekee..... jambo hili halina afya kabisa kwa ustawi wa Iran, na ndicho wahuni hawa wanataka kumfanyia iran
 
Anapoongelewa Iran utaona MKRIST na backup ya Israel na USA 😀

Watakuambia Iran inakwenda kufutika
Watakuambia Iran inakwenda kupigwa ndani ya mwezi mmoja tu 😀😀
Watakuambia Iran itateketezwa haitochukua muda 😀😀

Yaani

Kwahiyo huko Iran hakuna WAKRISTO na hakuna makanisa??

Uislamu ni dini yenye taratibu zake kama UKRISTO na taratibu zake

Uislamu unasema "hakuna kubembelezana kwenye dini",yaani unamfikishia mtu ujumbe then akiukubali it's okay na akiukataa ni shauri yake mwenyewe

Nyie WAKRISTO wa wapi sijui
Wewe ndo huna akili sisi watu wanachambua vita we unaleta udini??
Ni ngumu sana kumueleimisha muislam akaelewa .
Hii dini inaingiza ujinga kwene vichwa vya watu kamwe mtu hawezi kuwa huru
 
Wewe ndo huna akili sisi watu wanachambua vita we unaleta udini??
Ni ngumu sana kumueleimisha muislam akaelewa .
Hii dini inaingiza ujinga kwene vichwa vya watu kamwe mtu hawezi kuwa huru
Wewe Una akili ipi MKRISTO
 
Back
Top Bottom